Amepata ufaulu huu kidato cha nne! Je, anaweza kusoma shule ya binafsi kidato cha 5 na 6?

Sabih kilimo

Member
Feb 10, 2019
54
30
Wakuu kuna dogo mmoja kahitimu 2013 ana four ya 32 katika performance zifuatazo

Chemistry C
Kiswahili C
English C
Biology D
Physics D
Marthe E
Geography E
Civics D

Je anaweza kwenda advance private?
 
Ya ni na C zote hizo bado ana 4 ya 32
Hii elimu yetu hiii

Ngobekezela NKOSI Ngobekezela
 
SHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wote kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tuna kituo cha mitihani kwa watahiniwa wa kujitegemea na Q.T. Vile vile pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom