Amenipenda simpendi, nimfanyeje huyu mwanamke?

Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Apr 2, 2017
9,019
21,900
Nilimpenda yeye hakunipenda (hapa kipindi nafukuzia mzigo kwa speed ya bila tochi). Amenipenda mimi simpendi tena, maana nilikwisha piga nyama chini na kuendelea na mitikasi yangu na sitaki kuwa naye.

*Mimi nilitaka muonesha jinsi wanaume wanavyojua (wao) wanaita kutia majeraha ya moyo bila ajali.*
 
Nilimpenda yeye hakunipenda ( hapa kipindi nafukuzia mzigo kwa speed ya bila tochi).
Amenipenda mm simpendi tena , maana nilikwisha piga nyama chini na kuendelea na mitikasi yangu na sitaki kuwa naye.

*mimi nilitaka muonesha jinsi wanaume wanavyojua (wao) wanaita kutia majeraha ya moyo bila ajari.*
Aiseee mbona mimi ni opposite. Kuna sister alikuwa ananipenda mimi simpendi. Nikaanza kuwa karibu nae ili asinichukie, badala yake mimi ndie ninaempenda now

Alishaniambia she will never be with me. Hahahahha anyway angejua nina kababe. Tho I wonder, can you love two people at once? Wana Jf naomba mnijibu.
 
Hii inaitwa thread ndani ya thread.
 
Aiseee mbona mimi ni opposite. Kuna sister alikuwa ananipenda mimi simpendi. Nikaanza kuwa karibu nae ili asinichukie, badala yake mimi ndie ninaempenda now

Alishaniambia she will never be with me. Hahahahha anyway angejua nina kababe. Tho I wonder, can you love two people at once? Wana Jf naomba mnijibu.
Its possible kama wote ni waelewa.
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom