Amenipa mwezi mmoja niwe nimeshamuoa vinginevyo ananiacha, sina mahari nifanyeje

Habari ndugu, mimi na mchumba wangu tumedumu kwa miaka 8 sasa, hatukufunga ndoa kwa sababu ya kutaka kutimiza malengo ya kimasomo, mwenzangu amemaliza chuo mwezi wa sita mwaka huu na mimi ndo nimemaliza mwezi uliopita, kinachosubiriwa ni kwenda kulipa mahari ili kufunga ndoa, kwa kuwa nilikuwa masomoni sijajipanga vizuri kwa maana ya pesa za kulipa mahari, nimemwambia mpenzi wangu anivumilie nigangegange maana hata mahari najilipia mwenyewe, lakini cha ajabu ameniambia amechoka kusubiri, amenipa mwezi mmoja niwe nimekamilisha taratibu za kumuoa, vinginevyo ataniacha, nifanyeje ndugu zangu, nisaidieni!

Mapenzi ya mashart mimi siyaqezagi
 
Umeshasema wote mlikuwa wanafunzi, sasa hayo mahari utatoa wapi. Atakuwa na lifataki linalompa kiburi.
 
uchumba umeota ndevu.

vi vyema mkakaa pamoja na kuweka mikakato namna gani mkamilishe lengo lenu la kuishi pamoja.

inawezekana huyo dada wala hana mtu, kachoka umri unasonga na anahofu ya kuachwa pia
 
Habari ndugu, mimi na mchumba wangu tumedumu kwa miaka 8 sasa, hatukufunga ndoa kwa sababu ya kutaka kutimiza malengo ya kimasomo, mwenzangu amemaliza chuo mwezi wa sita mwaka huu na mimi ndo nimemaliza mwezi uliopita, kinachosubiriwa ni kwenda kulipa mahari ili kufunga ndoa, kwa kuwa nilikuwa masomoni sijajipanga vizuri kwa maana ya pesa za kulipa mahari, nimemwambia mpenzi wangu anivumilie nigangegange maana hata mahari najilipia mwenyewe, lakini cha ajabu ameniambia amechoka kusubiri, amenipa mwezi mmoja niwe nimekamilisha taratibu za kumuoa, vinginevyo ataniacha, nifanyeje ndugu zangu, nisaidieni!

Kwa muda wote huo wa miaka 8 mlikuwa mnagegedana?
 
piga chini,hakufahi
 
Ana haki ya kukupa Dead line maana miaka nane mingi sana inawezekana ukampiga chini na wenzetu umri ni kila kitu. Oa au wape nafasi wengine mjomba.
 
Nimeamini wanaume tunatofautiana, principle hua ni moja tu, ameanza poz weka pembeni, wanawake wanatuzidi idadi wanaume, afu mnaoendana zaidi ya huyo wapo zaidi ya milioni, tafuta mwingine, we umemaliza chuo tu tyr unataka kuoa, em pumzika kwanza uweke mambo safi, huyo hata mkioana mtazinguana baadaye tu, okoa basi hela za ndoa na talaka mkuu huoni kabisa hupendwi hapo??
 
Ngoja ngoja yaumiza matumbo, kama kweli unampenda na unataka kumuoa kutoka moyoni na si kwa kulazimishwa then do something coz amechoka kusubiri in vain
 
Miaka 8 anakusubiria tu,kweli ana moyo wa uvumilivu,tafuta pesa kijana uoe karne hii nani atakuvumilia muda mrefu kiasi hicho?:confused:
 
miaka 8? ina maana una muda sawa na serikali iliyopo madarakani? sasa jua kuwa hapo umechokwa, tatizo unatumia muda mrefu kutimiza ahadi zako? sasa amepata mtu mwenye kutimiza kwa haraka ahadi zake, wewe tangia kipindi kile hujamnunulia hata simu, sasa huyu kampa, huo mwezi mmoja anajua huwezi, na ukishindwa hapo jifungie ndani sikiliza wimbo wa ANNA Fm academia. pole kaka.
 
Labda iko sababu inayomsukuma kukwambia hivo,jichunguze kwanza wewe kisha ongea nae tena kiutaratibu. Asipotaka kukuelewa basi mwache aendelee na haraka zake,ila uchumba miaka 8 ni mingi. Kala ng'ombe mzima kwanini mkia umshinde!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom