Cruel mpole
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 282
- 106
Habari zenu,
¥¥¥asalaaam,
nimekuwa katika wakati mgumu,baada ya mpenzi wangu kufanya maamuzi magumu,yakunikaanga baada yakuamua kunishitaki polisi kwa Rb Kgd/Rb/90015/2013.KUTISHIA KUUA KWA MANENO.
Habari Kamili:
Nimekuwa katika mahusiano ya kimapenzi na binti mmoja mwanachuo ambaye kwasasa nimemfuta katika fikra zangu.Nimedumu naye kwa muda wa miezi sita.Awali mapenzi yetu yalikuwa ya amani na furaha tele,kiasi kwamba yanayotokea sasa,sikutegemea yatatokea.Nilimjali kwa kila kitu.Shida ndogondogo nilizitatua,akiugua namtibia,mahitaji madogomadogo nilimtimizia,ada ya shule nimemlipia,kila ki2 nimemfanyia,ili aridhike.Lakini hakuridhika.Chanzo ni mimi kumuuliza maswali kwa mambo kadhaa anayofanya ambayo mimi siyapendi.Wiki moja iliyopita,alikuwa katika mitihani,hivyo katika maandalizi ya kufanya mitihani alikuwa akijichanganya na group discussions,yenye mix ya wanaume na wanawake,ambao kila mara anafanya nao assignments za hapa na pale.Pindi wapo ktk majadiliano yao,alitokea kumshobokea kijana fulani katika hilo kundi,kiasi kwamba hata majadiliano yakiisha,members wengine waliondoka wakabaki wao wawili zaidi ya masaa ma4,to the extent,wanaweza kuondoka eneo hilo saa tano usiku,kiza kinene kikiwa kimetanda.Mimi ninaishi kwangu,kwani ni mfanya kazi taasisi fulani ya serikali,na hizi data nilizipata kutoka kwa informer wangu hapo chuo,kufuatilia nyenendo zake na mimi nilifanya reserch for the moment of time,nikaprove kwamba ni kweli kwani nilishawafumania pamoja wakiwa kwenye mapozi yakichokozi,ambayo yalifanya nigadhabike na kuondoka eneo lile nilipo wakuta na kurudi kwangu.Kweli nilikuwa nina nia yakumfanya mke wangu wa maisha,ila kwa visa anavyofanya,siamini ni kwamba niyuleyule aliyeahidi kwamba nitakuwa naye bega kwa bega maishani.Inafikia wakati ananitukana matusi makubwa pindi ninapomuuliza kwa ustaarabu kwanini anafanya mambo kama hayo.Mara ataniambia sina jipya,mara hivi na vile.Nikajua moja kwa moja nimeshanyang'anywa tonge mdomoni.Nimejaribu kila njia kumuweka sawa,lakini wapi.Ikabidi nitumie nguvu sasa.Nimemtext sms kadhaa kumtishia kwa namna yoyote ile.Binti kapanic,kasema kwamba mimi ni mchawi,mnafiki na sina mapenzi ya dhati kwake.Nikimuuliza kwanini anasema hvyo anasema kwamba mimi ni mwongo na sina future nae,kwamba namwongopea,jambo ambalo si kweli.Hivi sasa ninavyoandika haya,meseji niliyomtumia ya vitisho dhidi yake,ameisambaza kwa ndugu zake na marafiki na kiöngozi wa chuo hicho,kwamba baya lolote litakalompata chanzo ni mimi,hata akiugua mafua,chanzo ni mimi kwani amenishutumu awali kwamba mimi mchawi.Kauli hii ilinikera sana,ukitazama nimemghalamikia kwa kila hari.Kinachoniuma mimi ni kwanini hakuniambia mapema kwamba hanipendi,ila kunakitu anataka kujinufaisha kutoka kwangu then asepe zake,si bora angeniambia kweli nikamuelewa,kuliko kuchezea hisia zangu na kuniacha kwenye mataa?Eti ningefanya nini mimi Kiumbe mchanga kwenye ulimwengu wa mapenzi,kwa msichana huyu?zaidi yakugadhabika na kumtisha ili akae kwenye mstari?