Ameniblock kila sehemu lakini akiweka picha kali ananifungulia

Daa namkubali mtu angu..naumia kichizi mpaka sometimes huwa nahic alikua akiniona underground Sana coz nlimshobokea san

Sent using Jamii Forums mobile app
Potezea watoto wa chuo huwa hawaeleweki. Usiupe mzigo sana moyo wako kupenda usipopendwa. We mtu kashakwambia ana mtu wake sa hapo unaumia nn
Hata hvo siyo kila mwanamke unaemtaka wewe lazma akukubali no!
Piga chini wanawake wapo wengi. Ila ukiulazmisha moyo utapigwa pesa bure tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwaio katika kumsoundisha ulimwambia amuache huyo jamaa anaempenda sana ili awe na wewe? Maana akikwambia ana mtu na anampenda sana unamwambia sawa na mimi mwenyewe nataka uendelee kumpenda sana na usimuache ila mi namind hivyo hivyo nile mzigo...
 
Mkuu huna tofauti na wapiga kura wa ccm
Wadau mpo salama bila Shaka..
Miezi kadhaa nilimtokea dada fulani hivi nikamwambia namna gani nilikwa nampenda Sana. Akasema anashukuru Sana kupendwa na Mimi..Nikasema poa ,but halikwa jibu sahihi kusema hivyo. Baadae akanambia pia Hana mtu pale MZUMBE asomapo.
Mzee mzima Nikasema nimewini, isitoshe Ni mtoto mtoto kweli.
Kumchokonoa zaidi ndo akanambia atanipa jibu baada ya cku tatu,, nikasubiri wee ilipofika hyo cku akanambia eti ana mtu wake na anampenda san hawezi kumuacha.lakini eti nice na subira Pengine anaweza kunielewa..
Baada ya cku kadhaa nikakutana nae jibu likawa hilohilo..
Basi nikaridhia hakuna namna akufukuzae hakwambii toka. Kwanzia happo nikakauka c message Wala call.. lakini cku fulani fulani akawa hakosi kuntumia text GOOD NIGHT na zingine za mfanowe..
Basi mi nilikwa nikishukuru tu na kumwambia jinci gani namzimia.
Shida iko hapa, wiki ilopita alintumia text,UCKU MWEMA nikaijibu vyema ahsante kwake pia I love her..
Nikaona c vyema kumkaukia mtoto Kama yule. Nikaanza shobo ndo nikaanza shobo z's kumpigia na text,, C NDO HAPO NIKAGUNDUA AMENIBLOCK KILA MAHALI WASAP, CALL, TEXT NA KWINGINEKO.
LAKINI CHA AJABU AKITUPIA PICHA KALI WASAP ETI ANANIFUNGULIA KUTOKA BLOCK..

WADAU MNISAIDIE..HUYU DADA VIPI?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent by Diaspora
 
Ha haaa ...Leo nmetafutwa Tena na huyu dada,, eti MCHANA MWEMA"" Ile nataka kujibu tuu nkagundua nmeblokiwa tenaaaa..duhhhh..
Cjui kwnn ananifanyia hv mtoto wa mwanamke mwenzie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau mpo salama bila Shaka..
Miezi kadhaa nilimtokea dada fulani hivi nikamwambia namna gani nilikwa nampenda Sana. Akasema anashukuru Sana kupendwa na Mimi..Nikasema poa ,but halikwa jibu sahihi kusema hivyo. Baadae akanambia pia Hana mtu pale MZUMBE asomapo.
Mzee mzima Nikasema nimewini, isitoshe Ni mtoto mtoto kweli.
Kumchokonoa zaidi ndo akanambia atanipa jibu baada ya cku tatu,, nikasubiri wee ilipofika hyo cku akanambia eti ana mtu wake na anampenda san hawezi kumuacha.lakini eti nice na subira Pengine anaweza kunielewa..
Baada ya cku kadhaa nikakutana nae jibu likawa hilohilo..
Basi nikaridhia hakuna namna akufukuzae hakwambii toka. Kwanzia happo nikakauka c message Wala call.. lakini cku fulani fulani akawa hakosi kuntumia text GOOD NIGHT na zingine za mfanowe..
Basi mi nilikwa nikishukuru tu na kumwambia jinci gani namzimia.
Shida iko hapa, wiki ilopita alintumia text,UCKU MWEMA nikaijibu vyema ahsante kwake pia I love her..
Nikaona c vyema kumkaukia mtoto Kama yule. Nikaanza shobo ndo nikaanza shobo z's kumpigia na text,, C NDO HAPO NIKAGUNDUA AMENIBLOCK KILA MAHALI WASAP, CALL, TEXT NA KWINGINEKO.
LAKINI CHA AJABU AKITUPIA PICHA KALI WASAP ETI ANANIFUNGULIA KUTOKA BLOCK..

WADAU MNISAIDIE..HUYU DADA VIPI?

Sent using Jamii Forums mobile app
1.anakupenda ila mapungufu yako kifedha yamefanya achukuliwe na njemba mwingine mwenye kisu kirefu sasa anakublock ili usiwe msumbufu ukaharibu..kwaio aki ku miss ndo anaku check...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu
Daa namkubali mtu angu..naumia kichizi mpaka sometimes huwa nahic alikua akiniona underground Sana coz nlimshobokea san

Sent using Jamii Forums mobile app
Niskize mzoefu wa hizi Mambo,Hongera mnyama Hadi hapo she is in a negotiation table ,kimsingi demu amesha jaa kideleva hapo weka 4wd gear,skiza mkali demu anajamaa yake wametoka mbali ila Hana swaga muda anaokublock ni akiwa na mshikaji ,acha kabisa kugusia kuhusu jamaa unampa ummarufu ka ccm inavyowapa act,tumia njia mbili moja money intensive pili contact intensive
Money intensive: mfanye akutegemee kwenye vitu vya kipuuzi mfano unaingia kwa simu unamtumia saa 6 12,000 unamwandikia samahani nimekumiss nkaona nkutumie ukale chips mchana mwema.kumuunga bundle la 5000 internet ,na ustume sms za sijui nakupenda sjui mzuri it's tinagers thing,tuma sms za umeamkaje akijibu poa unamalizia asubuhi njema full stop ,kiuzoefu atajisogeza ,Kisha jifanye unaomba ushauri juu ya x wako ila komaa kuwa kaolewa ila hataki umuone mtoto na topic sympathetic ka hizo ,akijileta zaidi Anza dinner hizi Kisha mnyama utanisimulia ....survival for the fittest
 
Ushaur mzuri but ndo hivyo block nying..Leo mchana kantumia mchana mwema..nataka kujibu nkakuta block imepitishwa..cjui nafeli ama anafeli wap?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom