AMENIBLOCK KILA MAHALI LAKINI SOMETIME ANANFUNGULIA KWA KUNTUMIA TEXT NIKIJIBU TU ANANBLOCK TENA..WHYYYYYY?

S

Sela Son

Senior Member
Joined
Dec 31, 2018
Messages
120
Likes
82
Points
45
S

Sela Son

Senior Member
Joined Dec 31, 2018
120 82 45
Wadau mpo salama bila Shaka..
Miezi kadhaa nilimtokea dada fulani hivi nikamwambia namna gani nilikwa nampenda Sana. Akasema anashukuru Sana kupendwa na Mimi..Nikasema poa ,but halikwa jibu sahihi kusema hivyo. Baadae akanambia pia Hana mtu pale MZUMBE asomapo.
Mzee mzima Nikasema nimewini, isitoshe Ni mtoto mtoto kweli.
Kumchokonoa zaidi ndo akanambia atanipa jibu baada ya cku tatu,, nikasubiri wee ilipofika hyo cku akanambia eti ana mtu wake na anampenda san hawezi kumuacha.lakini eti nice na subira Pengine anaweza kunielewa..
Baada ya cku kadhaa nikakutana nae jibu likawa hilohilo..
Basi nikaridhia hakuna namna akufukuzae hakwambii toka. Kwanzia happo nikakauka c message Wala call.. lakini cku fulani fulani akawa hakosi kuntumia text GOOD NIGHT na zingine za mfanowe..
Basi mi nilikwa nikishukuru tu na kumwambia jinci gani namzimia.
Shida iko hapa, wiki ilopita alintumia text,UCKU MWEMA nikaijibu vyema ahsante kwake pia I love her..
Nikaona c vyema kumkaukia mtoto Kama yule. Nikaanza shobo ndo nikaanza shobo z's kumpigia na text,, C NDO HAPO NIKAGUNDUA AMENIBLOCK KILA MAHALI WASAP, CALL, TEXT NA KWINGINEKO.
LAKINI CHA AJABU AKITUPIA PICHA KALI WASAP ETI ANANIFUNGULIA KUTOKA BLOCK..

WADAU MNISAIDIE..HUYU DADA VIPI?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GHIBUU

GHIBUU

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Messages
3,689
Likes
1,356
Points
280
GHIBUU

GHIBUU

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2011
3,689 1,356 280

, dah let me think..

Anyway - kina wadada flani wanapenda kudindisha ili uwe mpole na unyenyekee kweli kweli, na ukikubaliwa kwa hali hio unaweza kujikuta upo under control, si a najua umezimika.

Ushauri, don't text mpaka a text, na akiweka picha utupie jicho no comments, at the end atakutafuta wewe na ukiongea nae jifanye mtu wa busy..

Anakutaka but kuna kamtege anakutega, be strong , muangalie speed yake, kwa sababu yako imefika jikomo na tuliza hio hio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
S

Sela Son

Senior Member
Joined
Dec 31, 2018
Messages
120
Likes
82
Points
45
S

Sela Son

Senior Member
Joined Dec 31, 2018
120 82 45
, dah let me think..

Anyway - kina wadada flani wanapenda kudindisha ili uwe mpole na unyenyekee kweli kweli, na ukikubaliwa kwa hali hio unaweza kujikuta upo under control, si a najua umezimika.

Ushauri, don't text mpaka a text, na akiweka picha utupie jicho no comments, at the end atakutafuta wewe na ukiongea nae jifanye mtu wa busy..

Anakutaka but kuna kamtege anakutega, be strong , muangalie speed yake, kwa sababu yako imefika jikomo na tuliza hio hio.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah nmekuelewa Sana ntajitahidi kufuata someone lako ndgu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
S

Sela Son

Senior Member
Joined
Dec 31, 2018
Messages
120
Likes
82
Points
45
S

Sela Son

Senior Member
Joined Dec 31, 2018
120 82 45
Hii inatoka kwangu moja kwa moja. Mwenyekiti wa Mabushoke ya Mkoani.

Huyo mnunulie mahindi debe moja, uwele na korosho gunia mbili. Asipokukubali twende kwa mganga tukamloge.
We mi so bushoke br..
Huyu dogo Ni fire..hayo magunia+ madebe naanzia wap

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,272,376
Members 489,924
Posts 30,449,310