Ameniambia haoni siku zake, naomba ushauri tafadhali

Ndo mlivyo, ngono mnapenda mimba mnaruka. We lea tu mshkaji mbona sikuhizi watoto wengi si wa baba zao afu fresh tu

Acha kuandika kitu ambayo hujui inauma kiasi gani..! We mwanamke huwezi zungumza nafasi ya mwanaume.
 
We kaka wewe! Ungejua niliyopitia maishan ungeshona tu huo mdomo.Ila nikukumbushe tu unapoanzisha mahusiano na MTU uwe tayari kukabiliana na lolote litakalotokea
 
Habari wakuu, poleni na mihangaiko ya hapa na pale.

Naombeni msaada juu ya hili ninaloliona mbele yangu. Iko hivi nini mpenzi wangu ambaye yeye yuko kwao na mimi pia niko kwetu il nin ka, yangu ya maana ninafanya.

Mara ya mwisho nilisex na huyu bidada kama last 2 weeks na alisema kwamba alikuwa safe hiyo siku but sikutaka matatzo nilitaka tumia kinga. Nilisex naye kwa kinga mzunguko wa kwanza.

Then after ejacul*ting tuka stop tukakaa kama almost 10 mins then tukaenda mzunguko wa pili. Mzunguko wa pili sikutumia kinga ila nili ejaculate njee..sikumw*gia ndani ila chaajabu leo naambiwa siku hazionekani. Naona akili yangu kama haijakaa sawa.

Msaada juu ya hilo wakuu. Kinacho niumiza kichwa na ninachoshindwa kuelewa ni kwamba kinga nilitumia, na awamu ya pili nilitilea njee.

Sasa dalili za mimba zinakujaje hapo?
tayari
 
Aisee cha kukusaidia sina labda nikusaidie kukuchagulia jina 🤣🤸‍♂️🐒
 
We kaka wewe! Ungejua niliyopitia maishan ungeshona tu huo mdomo.Ila nikukumbushe tu unapoanzisha mahusiano na MTU uwe tayari kukabiliana na lolote litakalotokea

Hata kama umepitia magumu kiasi gani ila huwezi ukaelezea machungu ya kulea Mtoto wa kidume mwingine. Binafsi siwezi kulea mtoto wa mwanaume mwingine, ikitokea naoa single mother mtoto aende kwa Baba yake tofauti na hapo asinilaumu.
Vivyo hivyo, mimi siwezi kuelezea maumivu anayopitia mwanamke wakati wa kujifungua au anapotekelekezwa. Alfu nyie wajanja sana, unalibeba liujauzito la jamaa ambaye hana hilo wala hili alfu unakuja kuniangushia Jumba bovu.
 
Sawa
 
Habari wakuu, poleni na mihangaiko ya hapa na pale.

Naombeni msaada juu ya hili ninaloliona mbele yangu. Iko hivi nini mpenzi wangu ambaye yeye yuko kwao na mimi pia niko kwetu il nin ka, yangu ya maana ninafanya.

Mara ya mwisho nilisex na huyu bidada kama last 2 weeks na alisema kwamba alikuwa safe hiyo siku but sikutaka matatzo nilitaka tumia kinga. Nilisex naye kwa kinga mzunguko wa kwanza.

Then after ejacul*ting tuka stop tukakaa kama almost 10 mins then tukaenda mzunguko wa pili. Mzunguko wa pili sikutumia kinga ila nili ejaculate njee..sikumw*gia ndani ila chaajabu leo naambiwa siku hazionekani. Naona akili yangu kama haijakaa sawa.

Msaada juu ya hilo wakuu. Kinacho niumiza kichwa na ninachoshindwa kuelewa ni kwamba kinga nilitumia, na awamu ya pili nilitilea njee.

Sasa dalili za mimba zinakujaje hapo?
MREJESHO...
NImeenda naye hospitali bega kwa bega kwenda kupima....

Majibu yaliyokuka ni
NEGATIVE...yaani hana ujauzito ila ulikuwa ni wasiwasi tu ama mshtuko aliupata ukapelekea period kuchelewa ama kubadili mzunguko.
Pia kwa upande wa #iV wote tumekutwa ni negative.

ILA NIMEJIFUNZA KITU KIMOJA
-Kutokana na comment zote hizi ni kwamba kulea kazi na saizi maisha yalivyo magumu ndo kabisaaa pia na uje kugundua mtoto unalea sio wako, unaweza ukauwa..

TUTUMIE KINGA WAKUU KUEPUKANA NA MAMBO KAMA HAYA.
 
MREJESHO

Very annoying!Hang yourself,dude!😝😝😝😝
 
Mwambie aangalie za wengine
 
Back
Top Bottom