Ameniambia haoni siku zake, naomba ushauri tafadhali

Huwa kulea wanawake wanachukulia simple simple sana.. mimo huyu wa kwangu nilimwambia kwamba siwez ishi na wewe kwa sasa bado maisha yangu hayajakaa sawa...ananijibu tuishi hvyohvyo tutajipanga taratibu taratibu
Hahahaha hio kujipanga sasa jiandae na kero na lawama tu 😂😂😂 utajuta kuishi na mwanamke ukiwa huna hela
 
Mwamba naona kina dada wanakushambulia sana kwa maneno makali cha msingi tuliza akili usi panic huwezi jua baraka za kiumbe huyo aliye tumboni mwenyezi mungu atakubariki na kukunyooshea maisha yako kupitia ujio wa mtoto huyo jenga imani hiyo
Utakuja nishukuru baadae mkuu
 
Habari wakuu, polen na mihangaiko ya hapa na pale..

Naombeni msaada juu ya hili ninaloliona mbele yangu...
Iko hv nin mpenz wangu ambaye yeye yuko kwao na mimi pia niko kwetu il nin ka, yangu ya maana ninafanya..

Mara ya mwsho nilisex na huyu bidada kama last 2 weeks na alisema kwamba alikuwa safe hiyo siku..but sikutaka matatzo nilitaka tumia kinga.. Nilisex naye kwa kinga mzunguko wa kwanza...then after ejacul*ting tuka stop tukakaa kama almost 10 mins then tukaenda mzunguko wa pili. Mzunguko wa pili sikutumia kinga ila nili ejaculate njee..sikumw*gia ndani...ila chaajabu leo naambiwa siku hazionekani....naona akili yangu kama haijakaa sawa...

Msaada juu ya hilo wakuu...
Kinacho niumiza kichwa na ninachoshindwa kuelewa ni kwamba kinga nilitumia, na awamu ya pili nilitilea njee...sasa dalili za mimb zinakujaje hapoo??
Usiwe na wasiwasi hana mimba ila siku zimevariate kidogo.
 
Kinachoniumiza na kunitatza ni kwamba...We all proved kwamba alikuwa SAFE......
 
Mbona kundi la mimba zisizotarajiwa linaongezeka kwa kasi hivi 😥....tumieni kinga jamani sio kujikinga na mimba tu hata magonjwa mengine ya zinaa!!Kumwaga nje sio suluhu mbegu nyingine zinaweza jipenyeza au unamwaga ndani kidogo kabla nje ufff 🥴
 
Hizo siku ambazo hazioni si ni za kwake sasa wewe kinakufikirisha nini?

Sema usije ukasahau pia siku hizi akianza cliniki atatakiwa kupima na MAAMBUKIZI,sijajua ni maambukizi ya nini. Ila ninalolijua ni kwamba kama majibu yatakuwa poa atakujulisha,ila yakiwa na utata wowote atabaki nayo mwenyewe
Clinic mara ya kwanza wanaenda wote ,kuna vipimo wanapima wote kwa ujumla n vizuri aende na yeye
 
M
Habari wakuu, poleni na mihangaiko ya hapa na pale.

Naombeni msaada juu ya hili ninaloliona mbele yangu. Iko hivi nini mpenzi wangu ambaye yeye yuko kwao na mimi pia niko kwetu il nin ka, yangu ya maana ninafanya.

Mara ya mwisho nilisex na huyu bidada kama last 2 weeks na alisema kwamba alikuwa safe hiyo siku but sikutaka matatzo nilitaka tumia kinga. Nilisex naye kwa kinga mzunguko wa kwanza.

Then after ejacul*ting tuka stop tukakaa kama almost 10 mins then tukaenda mzunguko wa pili. Mzunguko wa pili sikutumia kinga ila nili ejaculate njee..sikumw*gia ndani ila chaajabu leo naambiwa siku hazionekani. Naona akili yangu kama haijakaa sawa.

Msaada juu ya hilo wakuu. Kinacho niumiza kichwa na ninachoshindwa kuelewa ni kwamba kinga nilitumia, na awamu ya pili nilitilea njee.

Sasa dalili za mimba zinakujaje hapo?
Mbegu za kiume zinaweza bakia hai kwenye utupu wa mwanamke for 3 days sahau habari ya dk 10, Ulipomaliza mshindo wa kwanza bado kwenye njia zilibakia mbegu zilikuwa hai, Hivyo mlivyopiga kavu mzunguko wa pili zile mbegu zitakuwa zilitangulia kuingia bila ridhaa yako
 
Duh unaishi kwa Baba yako na bado unakulana bila kondomu wewe mtoto unaakili kweli wewe?
 
Subiri jifungue mkapime DNA. Kama una kipato na ni mpenzi wako na mlikwichikwichi kweli basi sio rahisi kuruka hicho kihunzi we lea tu mkuu.

Akizaliwa ndo mtajua kama ni wako ama lah.
 
Back
Top Bottom