Ameniadd kwenye group la madada wenzake

Kidume cha mbegu

JF-Expert Member
Jun 14, 2015
1,251
709
Habari zenu wana jf
Nilikuwa na mahusiano na mdada mmoja nikaamua kumpiga kibuti,baada ya kumpiga kibuti nimeshangaa kukuta ameniadd kwenye group la wanawake wenzake waliyosomaga
Pamoja shule ya wadada watupu
Nikijitoa ananiadd tena nikimwandikia text ya kumwambia anitoe hajibu ,,,,
Sasa mimi napokea sms za wanawake tu whatsapp yani sipend sipend
Niilikuwa naomba msaada wa anayejua kujitoa kabisa whatsapp kwenye ligroup lao la wanawake au mnifanyeje huyu mdada? Maana nimechoka kupata matext ya kijinga na umbeya tuu
 
Yaani mi nakushangaa...amekupeleka kisimani unashindwa kunywa maji? Mi nifowardie namba za hao wenzake at least 10, wazuri wazuri nikuoneshe kazi...UKIONA nyoya tu, jua kaliwa we hesabu tu
 
tongoza wote kwenye group. ila inawezekana ulikuwa na majungu majungu na umbea kama mtoto wa kike ndo maana akakuweka kwenye hilo group unavutiwa siku usutwe.
Exit group halafu block number yake.
 
Yaani mi nakushangaa...amekupeleka kisimani unashindwa kunywa maji? Mi nifowardie namba za hao wenzake at least 10, wazuri wazuri nikuoneshe kazi...UKIONA nyoya tu, jua kaliwa we hesabu tu
HSasa nikianza kuwatongoza si ndiyo watanza kunisema ,,kama ni namba zao njoo inbox takupa zote ila uwe makini na wew wasikuaadd ,
0
 
Inamana Hiyo Whatsup yako nitofauti natunazo tumia, au wewe ni mgeni wa kitufe cha delete/Exit
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom