Amemkuta mke wake ana ujauzito wa wiki tatu wakati hakuwepo miezi miwili

Huwaga huna msamaha wee, lol
Hakuna mtu asiyestahili msamaha kama watu wa hivi

Unahangaika kumlisha..kumvisha, apendezeee, azidi kua wakisasaaa, mtoto , huduma boraa kila mahali

Yaaan tena hapo, usikute jamaa yupo ziwani usiki wa maneno, demu anaomba hela mtoto anaumwa..jamaa anatumaa

Ziwani kuna Mamba, kuna mashetani n.k

Alafu nirudi, nikute unamimba??

Ukijijua umenichepukia ukapata mimba au usipate , ukijua nitajua na lazima nijue basi
una machaguzi mawali tu

Kuondoka Bila Aibu...Uondoke kwa aibu mpaka Dada, kaka ,mama yako, baba yako ,ndugu, watajua nmekufukuza .

Alafu Sikurudiiii ng'oooo.

Wanasemaga et kuchapiwa ni siri ya ndaniet usiwambie watu sababu unaweza mrudia huyo demu. Alafu ukapata wewe aibu????

AIBU UTAKULA WEWE, SINAGA AIBU.
 
Nimekuelewa mkuu
 
Hahahahah yaaan lol, wee mkeo anatakiwa kuwa muangalifu, pia na wee ujithaminishe km n muaminifu.
 
Mkuu huwa sipendi kumfanyia mtu kitu ambacho km angefanya kwangu ningeumia.

Mimi ili mradi mwanamke wangu hanibanii kunipa mzigo poaaa tu, najipigia weeeeee wala hata wazo la kuchepuka halipatikan nasipendi.

Ukianza ninyima mzigo, nitakuambia tu laivu... Ama usepe Niletee mwanamke wa kunielewa , au uache ujinga wako.

Mwanaume anapokutolea mahari. Ametolea mahari K...umpe hiyo K mpaka mwenyewe aikatae.
 
Ndudu wana jukwaa ni kwamba ni rafiki yangu ambaye kazi yake ni mvuvi wa samaki, amekuja kwangu kuomba msaada wa kimawazo kuwa yeye alitoka kwenda kuvua samaki, familia yake akawa ameiacha, Alimuacha mke wake na mtoto wake mmoja, huko alikaa miezi miwili na baada ya kurudi tuu alimtilia mashaka mke wake kuwa amehamisha penzi kwa mwanamume mwingine na alipofika tuu mke wake alimpeleka kupima mimba.

Baada ya kufanya kipimo, mimba kama ya wiki tatu ilionekanajamaaa alikosa nguvu na baada ya hapo kaja kwangu kuomba ushauri na mimi nimemwabia kuwa ni KOSA KUBWA SANA MWANAMKE ULIYEMTOLEA MAHARI APIGWE MIMBA HALAFU WEWE UMEENDA KUPAMBA ILI ALE --HIVYO MIMI USHAURI NILIOMPA NI KUWA AMPIGE CHINI ACHANE NAYE.

KWENU WAKUU KWA MSAADA.

Hapo ndo wengi sana huwa tunafeli, unapoamua kwenda kupima au kumpima mtu lazima uwe umeshajua iwapo jibu ni hasi au chanya utafanyaje? sasa yeye alivyoenda kumpima alitegemea jibu gani mpaka aje aulize cha kufanya na kama unajua kuwa hata ukimkuta nayo huwezi kumuacha haina maana tena kwenda kumpima maana vyovyote majibu yatakavyokuwa hakuna kitakachobadilika, sasa hivi wakati ashampima na majibu anayo ndo anatafuta ushauri???????
 
Oa mwanamke Bikra
Unaoa Malaya alafu unatafuta ushauri.
Mwanamke asiye na bikra ni kama sumu, haionjwi.
Wewe umeionja simu.

Bila bikra umeoa Malaya
 
Ndudu wana jukwaa ni kwamba ni rafiki yangu ambaye kazi yake ni mvuvi wa samaki, amekuja kwangu kuomba msaada wa kimawazo kuwa yeye alitoka kwenda kuvua samaki, familia yake akawa ameiacha, Alimuacha mke wake na mtoto wake mmoja, huko alikaa miezi miwili na baada ya kurudi tuu alimtilia mashaka mke wake kuwa amehamisha penzi kwa mwanamume mwingine na alipofika tuu mke wake alimpeleka kupima mimba.

Baada ya kufanya kipimo, mimba kama ya wiki tatu ilionekanajamaaa alikosa nguvu na baada ya hapo kaja kwangu kuomba ushauri na mimi nimemwabia kuwa ni KOSA KUBWA SANA MWANAMKE ULIYEMTOLEA MAHARI APIGWE MIMBA HALAFU WEWE UMEENDA KUPAMBA ILI ALE --HIVYO MIMI USHAURI NILIOMPA NI KUWA AMPIGE CHINI ACHANE NAYE.

KWENU WAKUU KWA MSAADA.
Wewe umekosa sifa kabisa ya kuwa mshauri kwa sababu zifuatazo;

1. Hiyo issue ipo sensitive sana hivyo ungemtuliza kwanza ili na wewe utafute jibu linalo onekana ni sahihi zaidi
2. Sikuona mahali umeandika maswali uliyo muuliza mf: anavulia wapi na kama kuna umbali kweli wa kukaa miezi miwili bila kurudi; na pia kama walikuwa na makubaliano na mkewe kwamba ataenda kukalia huko kwa muda mrefu kiasi hicho?
3. Hapo umesikiliza maelezo ya upande mmoja ukaya amini, unahakika gani kwamba hakuna vitu vingi vimejificha kwenye hayo maelezo. Kwa nini usingetafuta muda usikilize na upande wa pili wa mke
4. Ushauri huwa sio kumpangia mtu maamuzi ya kuchukua ila ni kumuongoza kufanya maamuzi yaani kumpa faida na hasara za kufanya na yeye aamue mwenyewe
5. Mwisho: wewe umeshamuamulia cha kufanya na sio kumshauri; sasa umeleta huku jukwaani ili tukushauri nini wakati umeshatoa maamuzi?????
 
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom