Amelala kwangu usiku mmoja tu, tayari ameanza kujisahaulisha chupi zake

Dah!
Jf ina mambo mapya kila siku..
Kuna jamaa alijisahau akapitiwa katika kuweka picha inayohusiana na mada Yake,picha ya mwisho akaweka uchi wa mtu wake kwenye thread na ilikaa usiku mzima hadi asbh ndio mods wakaitoa.

Mada iliyokuwa inajadiliwa si nyingine,bali ni ya picha ya mwisho ambayo haihusiani kabisa uzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulinipita huo uzi

Kwema lakini mkuu
 
Yani akaweka uchi uchi kabisa wa mpenzi wake? Sijui ukiamka asubuhi unaificha wapi sura yako..daah!
 
Mwamba ulitaka aende na chupi haijakauka kazin kwake ???

Usikute alikuambia"" Mimi kesho ni kazini".. Ila sasa ukabembelezaaa weeeee mpaka ukataka nakuliaz ukamshawishi aje tu na nguo ya kubadili, ataamkia kwako aende kazin

Kajaaa, Umemla kwa mara yakwanza, tayari kwakua shida yako ilikua nikumwaga shahawa, basi umeanza makasiriko

Mkuu Tafuta Pesa, Upunguze makasiriko!!!

Nipe namba yake, awe anakuja kwangu anaacha kila kitu.
 
Yani akaweka uchi uchi kabisa wa mpenzi wake? Sijui ukiamka asubuhi unaificha wapi sura yako..daah!

Jamaa alitia huruma Sana aisee,watu walianza ijadili ile picha aise
Hadi asubuhi mods wakaitoa na wakatembea na baadhi ya comments..wakafanya usafi
 
Yaani ile screenshot ninayo,juzi katika kupitia screenshots zangu nikaiona..nikabaki nacheka tu

Jamaa alitia huruma Sana aisee,watu walianza ijadili ile picha aise mara oh inabidi akanyoe yaani acha kabisa,wengine wanaelezea aina ya nywele..texture yake

Hatari sana!!!
 
Hadi asubuhi mods wakaitoa na wakatembea na baadhi ya comments..wakafanya usafi🤣🤣🤣

Bahati yake mods walipita na Topaz kuzinyoa kabisa ila ss na ww una feli wapi? Ebu nifanyie ziara ya kushtukiza Dm 🤣🤣🤣
 
Yaani ile screenshot ninayo,juzi katika kupitia screenshots zangu nikaiona..nikabaki nacheka tu

Jamaa alitia huruma Sana aisee,watu walianza ijadili ile picha aise mara oh inabidi akanyoe yaani acha kabisa,wengine wanaelezea aina ya nywele..texture yake
Hadi asubuhi mods wakaitoa na wakatembea na baadhi ya comments..wakafanya usafi
Naomba nitumie mie nione cc, plz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom