Amelala kwangu usiku mmoja tu, tayari ameanza kujisahaulisha chupi zake

Acha tu mzee kuna mademu wana msimamo mgumu japo unaona kabisa anajikaza.. Mwisho wa siku alinisamehe maana mwanzoni mimi nilimuelewesha kwa uongo flani akazidi kumind ikabdi nimwambie ukweli baada ya hapo nikampotezea yani nikashangaa siku nipo geto mtu anagonga mlango hapo nilikuwa na miahadi na demu flani nikajua ni yeye eehe namkuta manzi angu aisee

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
mwanangu umeokota dodo chini ya mnazi kuja kushangaa ikaingia pisi kali ya enzi hizo wacha ujilie zigo noma sana
 
Kuna binti nilikutana nae alikua na wasi wasi sana nahisi atakua ndiye.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom