Amekuwa bungeni na waziri miaka 20 ila leo ndio anasema kuwa tulichapwa. Huu si unafiki!!

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,944
18,652
Huyu Boss nimeshindwa kumuelewa na kauli zake tata kila siku. Anadai kuwa hapo nyuma tulikiwa tunachapwa pesa zetu za kodi. Yan tulikuwa hatupati maendeleo sababu tulikuwa tunachapwa na serkali iliyopita.

Amekuwa waziri na serikali iliyopita takriban miaka 20. Hata siku moja sikuwahi msikia bungeni akilalamika kuwa tunachapwa. Alikuwa ndyo kule upande wa "Ndyo".Sheria zote na mikataba mibovu imepitishwa na yeye akiwa miongoni mwa waliokuwa upande wa "ndyo".

Kibya zaidi anaogopa kusema waliotuchapa sababu na yeye ni miongoni mwao. Alipiga bei nyumba za serikal kwa bei ya nyanya. Nyumba nyingine akagawia mpaka mahwala zake.

Leo hii, bila aibu eti "nchi hii ilichapwa sana". Alafu anasema CCM hoyeeee!!!!. Huku kimoyo moyo anasema "Chama la wachapaji hoyeeeee"!!!!

Mwanasiasa sio mtu wa kuamini hata siku moja.
 
Leo hii, bila aibu eti "nchi hii ilichapwa sana". Alafu anasema CCM hoyeeee!!!!. Huku kimoyo moyo anayema Chama la wachapaji hoyeeeee!!!!

Hivi hamnaga ishu nyingine ya kujadili huko ufipa?
Hizi topic za dizaini hii ambazo zimetolewa maelezo na Mr. Zero tayari haziwezi wapa promo.
 
Huyu Boss nimeshindwa kumuelewa na kauli zake tata kila siku. Anadai kuwa hapo nyuma tulikiwa tunachapwa pesa zetu za kodi. Yan tulikuwa hatupati maendeleo sababu tulikuwa tunachapwa na serkali iliyopita.

Amekuwa waziri na serikali iliyopita takriban miaka 20. Hata siku moja sikuwahi msikia bungeni akilalamika kuwa tunachapwa. Alikuwa ndyo kule upande wa "Ndyo".Sheria zote na mikataba mibovu imepitishwa na yeye akiwa miongoni mwa waliokuwa upande wa "ndyo".

Kibya zaidi anaogopa kusema waliotuchapa sababu na yeye ni miongoni mwao. Alipiga bei nyumba za serikal kwa bei ya nyanya. Nyumba nyingine akagawia mpaka mahwala zake.

Leo hii, bila aibu eti "nchi hii ilichapwa sana". Alafu anasema CCM hoyeeee!!!!. Huku kimoyo moyo anayema Chama la wachapaji hoyeeeee!!!!

Mwanasiasa sio mtu wa kuamini hata siku moja.

Afadhali umelifahamu hili. Mwanasiasa ni sawa na Malaya. Hatakuambia kuwa ana ukimwi. Atazidi kusema " kavukavu buku tano na kwa ndom buku tatu" .
 
Huyu Boss nimeshindwa kumuelewa na kauli zake tata kila siku. Anadai kuwa hapo nyuma tulikiwa tunachapwa pesa zetu za kodi. Yan tulikuwa hatupati maendeleo sababu tulikuwa tunachapwa na serkali iliyopita.

Amekuwa waziri na serikali iliyopita takriban miaka 20. Hata siku moja sikuwahi msikia bungeni akilalamika kuwa tunachapwa. Alikuwa ndyo kule upande wa "Ndyo".Sheria zote na mikataba mibovu imepitishwa na yeye akiwa miongoni mwa waliokuwa upande wa "ndyo".

Kibya zaidi anaogopa kusema waliotuchapa sababu na yeye ni miongoni mwao. Alipiga bei nyumba za serikal kwa bei ya nyanya. Nyumba nyingine akagawia mpaka mahwala zake.

Leo hii, bila aibu eti "nchi hii ilichapwa sana". Alafu anasema CCM hoyeeee!!!!. Huku kimoyo moyo anasema "Chama la wachapaji hoyeeeee"!!!!

Mwanasiasa sio mtu wa kuamini hata siku moja.
Nigger please!!!
 
Yupo sahihi. Yeye na mawaziri wenzake walikuwa wakichapa hela zetu kwa raha zao since then. Sasa hivi kwa kuwa anaijua mianya ya wizi, amejaribu tu kuwazuia baadhi yao ila yeye na wachache waliopendezwa nae wanatwanga tu kama kawaida
 
Wale anaodai ni wachapaji, watamchapa 2020...we subiri utaona. Muda ni jibu tosha kabsaa
 
Lkn yuko sahihi. Katiba yetu mbovu inampa rais madaraka na mamlaka yote chini ya jua linaloangaza Tanzania, rais amepewa umungu mtu na katiba hii. Hata kama yy alikuwa waziri, angefanya nn ili kuzuia upigaji?

Pengine utauliza yy alizuia upigaji wizarani kwake? Jibu ni NDIYO. Huyu jqmaa alijitahidi kiasi chake, aliwashughulikia vilivyo wakadarasi.

Pengine utauliza kama alikerwa kwann hakujiuzuru? Mungu mtu wa wakati huo angemshughulikia.

Unaambiwa kwenye awamu hii kama mawaziri wangekuwa huru kujiuzuru kama nchi za watu, wote wangejiuzuru.

Hivyo mchawi wetu ni katiba.
 
Ametuchapa akiwa ardhi, ametuchapa akiwa kitoweo akavunja rekodi akiwa ujenzi!
 
kuwepo kwake bungeni kwa kipindi chote hicho isiwe ndio sababu ya ninyi kupinga kila kitu. alikuwepo bungeni kama mbunge wa chato na si mbunge wa jimbo la tanzania nzima. amechangia jimbo lake kukua sana kwa kipindi chote hicho na alisema mara nyingi pale alipoona hakuendi sawa. ulitaka afanye nini wakati hana uwezo wa kuamua kila kitu?
 
Pengine utauliza yy alizuia upigaji wizarani kwake? Jibu ni NDIYO. Huyu jqmaa alijitahidi kiasi chake, aliwashughulikia vilivyo wakadarasi..

Atleast not STRABAG na barabara ile ya Mwendokasi. Mumuelewe tu pale anapowaambia Nchi imeliwa sana maana anajua percentage kiasi gani amekuwa akishirki kuchota wakati yeye na wenzie walipokuwa wanaigawana keki ya Taifa
 
Back
Top Bottom