Ameingia tarehe 21 mwezi huu katika siku zake

Jean piaget

Senior Member
Mar 15, 2014
143
32
Hi JF,
Kuna rafiki yangu ameniuliza kwamba mke wake ameanza period tarehe hiyo hapo juu, je ni kati ya tarehe hipi akikutana nae anaweza akapata mimba?

Wana mwaka mzima kwenye ndoa bila mtoto, dr. kawambia hawana tatizo wote.

Watalamu tumsaidie huyu jamaa.
 
21,22,23,24,25,26,27,28,29,30,31,1,(2,3,4,5,6,)7,8,9..>>>
Angalia hizo tarehe zilizo ktk mabano.
 
21,22,23,24,25,26,27,28,29,30,31,1,(2,3,4,5,6,)7,8,9..>>>
Angalia hizo tarehe zilizo ktk mabano.

Naunga mkono, jamaa inabidi akomae afanye kazi kwelikweli siku hizo zote mfululizo.. asipochomoka hapo dokta inabidi apime upya lazima kuna tatizo..

Muelekeze jamaa kua anamwaga ndani sio nje maana kama tarehe hajui isijekua hadi hili hajui.... #Kiddin !
 
teh teh teh! Umenichekesha eti nimwambie awe anamwaga ndani, atakua anajua mkuu
 
Hi jf,
Kuna rafiki yangu ameniuliza kwamba mke wake ameanza period tarehe hiyo hapo juu, je ni kati ya tarehe ipi akikutana nae anaweza akapata mimba? Wana mwaka mzima kwenye ndoa bila mtoto, dr. kawambia hawana tatizo wote,
Watalamu tumsaidie huyu jamaa.

Mwambie ahesqbu siku 11 kuanzia tarehe hiyo hadi siku ya 18 agegede tu haswa siku ya 13 hadi 15 ndo muhimu zaidi mashauri apate vyakula vya wanga na protini kwa wingi
 
Back
Top Bottom