Kuna mzee mmoja hapa kitaani kwetu alifanyiwa oparesheni ya kibofu cha mkojo na hali yake mpaka sasa sio nzuri bado anaumwa serious sana.
Niende kwenye pointi.
Huyu mzee kulingana na historia yake kipindi cha nyuma inasemekana alikua mzinzi sana kupita kiasi.ameendelea na tabia yake hiyo mpaka hivi karibuni umri ukiwa umeenda bado alikua nayo hiyo tabia.
Sasa kulingana na Maelezo ya wataalamu wanasema tatizo alilonalo mpaka akafanyiwa operations ya kibofu ni kutokana na hiyo Tabia yake ya Uzinzi kupita kiasi,maana hali hiyo ilipelekea ashindwe kupata haja ndogo na kukimbizwa hospitali haraka.
Sasa kwa anayefahamu hili tatizo ni kwanini inakua hivyo au nini kinapelekea mpaka kushindwa kupata haja ndogo?