Amefanya diploma ya Computer Science, asome kozi gani digrii?

njujujr

JF-Expert Member
Dec 29, 2017
684
468
Kunajamaa yangu muajiliwa amemaliza diploma ya computer science ameniomba ushauri ya kuwa asomee course gani degree ambayo itabaki ndani ya ICT lakini isiwe ngumu sana ushauri course gani ambayo sio tight in ICT plz kwa mwenye kufahamu vizuri.
 
Ukishaingia kusoma ict huwezi soma kitu simple hata siku moja mwambie akakomae akasome bachelor ya computer science tu
 
Back
Top Bottom