Amechelewa kuzaa, au lilikuwa changa la macho? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Amechelewa kuzaa, au lilikuwa changa la macho?

Discussion in 'JF Doctor' started by Chief Lugina, Jan 8, 2012.

 1. C

  Chief Lugina JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 290
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nilikuja hapa na threat ilikuwa inasema Mimba Calculation watu walitoa details za mda wa kuzaa mara baada ya kupata mimiba. Na mwisho wa siku jibu nililolipata ni kuwa yule mwenye mimba anatakiwa kujifungua tarehe 5/01/2012 ambayo hata Doctor wake alimwambia hivyo. Lakini hadi leo hii bado hajajifungua na naona kama hana hata wasi wasi amebakia kusema tu kwani mimi ni mungu?
  SWALI: Je mtu anatakiwa kuchelewa kuzaa kwa mda gani? chukulia mfano kama alitakiwa kuzaa 05/01/2012 anaweza kufika hadi tarehe ngapi?

  Waiting to hear from yuo!!
   
 2. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2012
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  mkuu kama ni mkeo inabd uwe mpole tuu!usiwazie vibaya!kitanda hakizai haramu!ukianza kuwaza changa la macho mtoto akizaliwa anafanana na babu mzaa bibi yake unaweza kurusha ngumi bure!
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  It's only been three days, GIVE HER A BREAK. Most of the time hua inakua +/- 1 week. . . japo inaweza kwenda mpaka wiki 40.

  Hivi wakati wa ujauzito hua hamsomi somi hata vitabu kujua nini cha kuzingatia, vyakula gani vya kutokula na kuhusu mimba inavyokua? Jaribu hiyo next time.
   
 4. P

  Popompo JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
   
 5. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ili mwanamke azae full term baby kwanza anatakiwa awe ametimiza hiyo full term. Pili ni lazima awe na uchungu na uchungu hauwezi kuanza mpaka aweze kutoa prostaglandins abazo kutoka kwake kunahitaji afya ya mama na mtoto tumboni. Kama ikwa delayed labour hospitali huwa wana protocol 2 Obstatricians wanazofata kufwatana na uchunguzi watakaofanya. Moja ni induction ya labour na pili ni Cesarean Section. Kama una wahka wa kupata mtoto na Ulikuwa unampeleka dame wako ANC basi give her the benefit of dought au mpeleke kwa Obstatrician kwa vipimo.
   
Loading...