Ameacha kutoa pesa ya matunzo kwa mtoto baada ya ku-hack simu yangu na kukuta chatting WhatsApp za HR wangu

Okay from what I know kugharamia na kuhudumia ni vitu viwili tofauti.
Akikugharamia atakuharras vile apendavyo but akikihudumia atakuhandle kwa unyeyekevu ..
Hebu funguka hapa?

But we si umesema kazi yake HR ni kukupa ushauri tu?
 
"nililazimika kuacha kazi hiyo kutokana na pressure kubwa (naijua Mimi)"​
Most single mothers (like you OP) will never reveal why the nigger left. Most men (not all) leave due to infidelity of the woman. The average man still has an ego to protect, they will easily leave the woman if they confirm their suspicious.​
 
Habari wapenzi.

Japo ni mgeni kiasi humu jamiiforums,nimeomba nipate ushauri wenu japo kiasi nipate mwelekeo.

Nina binti yangu 3yrs now,ambaye baba yake,yaani mzazi mwenzangu alikuwa akiendelea kumtunza mtoto wetu kwa Hali na mali baada ya Mimi kuacha kazi katika kampuni fulani.

Shinikizo la kuacha kwangu kazi lilitoka kwake baada ya mimi kuanzisha mahusiano mapya na HR wa kampuni mama na niliyokuwa nafanyia, nililazimika kuacha kazi hiyo kutokana na pressure kubwa (naijua Mimi)

Back to the point ni kwamba Mr kaacha ghafla kuinstall amount ambayo alishajicommit kussuport matunzo both me and my child..
I really don't know sijui ndo kunikomoa au vipi,? na kila nikijaribu kumpigia anakata simu na kutuma ujumbe yupo kwenye kampeni na mheshimiwa.
Kuhusu kumsimamia mwenyewe mwanangu kwa kweli inaniwia ngumu coz na mtoto wa dada yangu ambaye ninamsomesha shule ya gharama kiasi chake.

Samahinini kama uandishi wangu mbaya.
Mwenye ushauri wa kujenga pliz!
Kwanza unasema kutokana na presure kubwa unaijua mwenyewe! Sasa sijui umekuja tukusaidieje kama unaficha mengine

Any way kiufupi ninyi wanawake wa aina yako ni wasumbufu sana na hua mnajifanya mnajua kupita kiasi,nowdays tunawaacha hivyo hivyo mkome maana hamuelekezeki wala kuongozwa,kusimamiwa, na wanawake ni asili yenu,mkisoma shule,tamthilia za kwenye tv na ujuaji vinawaponza

Pambana tu mwenyewe na ukome

Nasema hayo maana mimi ni muhanga wa kua na mwanamke sampuli kama yako,ni washenzi sana nyinyi hamtosheki na hamtaki kuheshimu wanaume kwa vipesa mnavyo pata makazini na kwenye biashara zenu..
 
I can provide for my kid even if anaishi na mama yake but on four conditions:​

1. I get to see the kid regularly and be an active parent.​

2. No sending cash, I'll buy ONLY the physical products my child uses and pay the kid's fees, lakini pesa yangu hutawahi ishika. Na kodi siwezi kulipia.​

3. Kid keeps my surname and family name.​

4. If she gets a weak guy to date, he should NOT try to replace me as the father to my kid and she shouldn't encourage it. Akimwambia mtoto wangu amwite some random guy "daddy" then that guy should take up the financial responsibility that comes with that title.​

Sawa wewe mtoa mada utakuwa upo ktk category namba 4 hiyo​
 
kulea mtot wa dadako unaweza alaf kulea wako unashindwa una akili au ugoro kichwani? Kubaff
 
Habari wapenzi.

Japo ni mgeni kiasi humu jamiiforums,nimeomba nipate ushauri wenu japo kiasi nipate mwelekeo.

Nina binti yangu 3yrs now,ambaye baba yake,yaani mzazi mwenzangu alikuwa akiendelea kumtunza mtoto wetu kwa Hali na mali baada ya Mimi kuacha kazi katika kampuni fulani.

Shinikizo la kuacha kwangu kazi lilitoka kwake baada ya mimi kuanzisha mahusiano mapya na HR wa kampuni mama na niliyokuwa nafanyia, nililazimika kuacha kazi hiyo kutokana na pressure kubwa (naijua Mimi)

Back to the point ni kwamba Mr kaacha ghafla kuinstall amount ambayo alishajicommit kussuport matunzo both me and my child..
I really don't know sijui ndo kunikomoa au vipi,? na kila nikijaribu kumpigia anakata simu na kutuma ujumbe yupo kwenye kampeni na mheshimiwa.
Kuhusu kumsimamia mwenyewe mwanangu kwa kweli inaniwia ngumu coz na mtoto wa dada yangu ambaye ninamsomesha shule ya gharama kiasi chake.

Samahinini kama uandishi wangu mbaya.
Mwenye ushauri wa kujenga pliz!

Kuna vitu haujaviweka wazi na sidhani kama utapata ushauri unaohitaji, lakini watoto wa siku hizi mmekuwa na matatizo mengi mambo yenu mengi mnategemea social media, nikirudi kwenye point hujasesema wakati unaingia kwenye mahusiaono na HR ulishaachana na huyo mzazi mwenza au lah?
Na kama mlikuwa mmeshaachana iweje akushauri uache kazi nawe ukaacha? Pia kuna sehemu umesema huwezi msimamia mtoto wako kwa kuwa unamsomesha mtoto wa dadako, je umeona mtoto wa dadako ni bora kuliko huyo wa kwako? Na je huyo mtoto wa dada yeye wazazi wake hawapo?
Ikiwa uliamua kusaidia ukiwa na uwezo na mambo sasa yameenda mrama, chagua upande mmoja unaohumudu. Lakini pia ni ujinga wa kiwango cha PHD kuacha kazi kwa sababu umepata Sponsor huo ni utumwa wa fikira, hebu jitambue kwanza.
Mwisho kabisa hayo mengine yahusuyo matunzo ya mtoto kama vipi nenda ustawi wa jamii.
 
Back
Top Bottom