Ambulance ya Nassari yaharibikia barabara ya Kikwe

Ubishi mwingine wa kitoto hizo ambulance zinaleka kwa manufaa ya jamii hayaletwi kwa jili a chadema .Tondoke na huu wivu wa kijinga kama Nye mlishindwa kwa kipindi chote kilichopita kwa nini mobee mabayahuyu aliyeweza kwa mda mchache
mmaranguoriginal
 
Last edited by a moderator:
Vx ya raisi ilichomoka tairi maeneo ya kimara, sembuse used ambulance
 
mmaranguoriginal

Ila we jamaa wewe nimegundua utakuwa pung.uani, sio bure.
Nassari atakuwa alikufanya kitu mbaya.

Ni zaidi ya obsession hii.
 
Last edited by a moderator:
Nadhani Gari Kuharibika Siyo Jambo Geni
Lete Hoja Kuhusu Hizo Gari Ikiwa Kama Kweli Zilipakwa Rangi Na Huko Ziliko Nunuliwa
Unajua Lolote

Sasa mkuu magari ndio yameletwa juzi halafi yameshaaanza kuharibika ,sasa yatamudu kweli kazi ,mama zetu hawatafia barabaran kweli
 
Kwanza una dhalilisha asili ya watu wa marangu kwa kuiba jina na kutenda matendo yasiyo fanana nao!

Pili, umedhihirisha ufinyu wako wa ziada kwenye kufikiri.

Nasari hajamaliza vipindi viwili bungeni kama unavyosema, hata muda wa kipindi kimoja hajafikisha.

Kaa chini usiendelee kujidhalilisha mkuu. Tumeshakujua huna issue.
 
Ya ccm ambayo haijaharibika ni ipi? Kwani kununua gari used ni kitu kigeni mpk boxa yako used huji kuitangaza hapa

Tena abahatiki awa wa kiume akiwa wa Kikeni sijui.Ila kama ni wa kiume akaulize dada yake kama hana Bikini used!

Mijitu mingine ni wapuuzi sana! Eti used na mbovu hiyo nzima baba yake anayo au uliona lini Lumumba wamepata kuinunua zaidi ya kutuibia kila mara pamoja na kukata 13% Kodi PAYE kwa kinachozidi 170 .000
 
mmaranguoriginal

Mkuu gari huwa zinaharibika na ndio maana kuna garage na mafundi.
Sasa siku likiisha matairi uje utujuze please.

Shukran
 
Last edited by a moderator:
mmaranguoriginal

Mgonjwa anafia njiani hajafikishwa hospitali sembuse chuma au gari ambayo hujaitengeneza wewe. Kwani kwa umri wako hujasikia mgonjwa kafia kwenye fomu hajamwona daktari? Je siku gari ilipomuua aliyeitengeneza ulikuja jf kutujuza?

Tuambie na zinazopata ajali kila siku na kuharibikia njiani hazijamaliza safari zote zimeagizwa na mh. Nassari? Yeye aliweza kununua hizo ambulance unazoziita mbovu wewe kama mkazi wa Arusha ulichangia hata lita ya mafuta au ni kushinda kwenye mitandao na uongo tu?
 
Last edited by a moderator:
Tena abahatiki awa wa kiume akiwa wa Kikeni sijui.Ila kama ni wa kiume akaulize dada yake kama hana Bikini used!

Mijitu mingine ni wapuuzi sana! Eti used na mbovu hiyo nzima baba yake anayo au uliona lini Lumumba wamepata kuinunua zaidi ya kutuibia kila mara pamoja na kukata 13% Kodi PAYE kwa kinachozidi 170 .000

Washenzi hawa, watu wakiwaambia hawafanyi kitu wanajibu na nyie mnafanya nn, wapinzani wakifanya maendeleo wanazodoa kuwa wanajipendekeza
 
Hizo gari kanunua kwa pesa zake,mbona hamuhoji boti mbovu na mabehewa feki yaliyonunuliwa kwa pesa za umma?

Nani kakwambia hatuhoji ,tatizo ni mbwembwe zake kila mikutano anazianika ,, mbona mbowe yeye yuko kimya .. Tangu akibidhi yeye kila saa ambulance .. Ambulance.. Utadhania amna tena matatizo kwa wa arumeru
 
Sasa mkuu magari ndio yameletwa juzi halafi yameshaaanza kuharibika ,sasa yatamudu kweli kazi ,mama zetu hawatafia barabaran kweli

Uzuri Kule hospital siyo za kutafuta kama Kule kwenu.
Halafu pili bora hao watakaopona kuliko kufa wote.
 
Back
Top Bottom