Ambulance- maajabu ya dunia na uvivu wa viongozi wetu

Kwakweli ukiifikiria sana Tz waweza kuishia kupata ulcers bure! Na kwa bahati mbaya unaowaonea huruma wala hawajihurumii! We have a long way to go!

Maneno yako sawia lakini mwisho wake unakaribia watu wanafunguka sasa.
 
Something is better than nothing.

At least hivyo vibajaji vya ambulance tunaviona wakati huu wa Kikwete, wa kabla yake walikuwa wapi? kuanzia Mkoloni, Nyerere, Mwinyi, Mkapa, watu walikuwa hohehahe.
 
Something is better than nothing.

At least hivyo vibajaji vya ambulance tunaviona wakati huu wa Kikwete, wa kabla yake walikuwa wapi? kuanzia Mkoloni, Nyerere, Mwinyi, Mkapa, watu walikuwa hohehahe.
kipindi cha nyerer mwinyi tulikuwa na gesi etc? tumia akili usilete ushabiki, hata mobilefone kulikuwa hakuana
 
Hayo magari 40,000 Yalinunuliwa wakati mmoja? Au ni mkusanyiko wa miaka 50?.......LET'S BE FAIR!!!
 
Chama gani cha siasa kimewahi nunua ambulance hata 10 tu na kuzigawa kwa wananchi? CCM. CHADEMA ama CUF? Au wenyewe ni kupiga domo tu na tunawaona wanafaa kwa kupiga domo na si vitendo!!!!! Atakiwaye kuongea ni yule afanyaye kwa vitendo na si kwa maneno!!!! WANATUDANGANYA HALI WAO WENYEWE WANATEMBELEA HAYOHAYO MA-V8
 
kipindi cha nyerer mwinyi tulikuwa na gesi etc? tumia akili usilete ushabiki, hata mobilefone kulikuwa hakuana

Gas ilikuwepo, nani aliokwambia ilikuwa hakuna? unafikiri gas inaota tu kama miti?
 
Chama gani cha siasa kimewahi nunua ambulance hata 10 tu na kuzigawa kwa wananchi? CCM. CHADEMA ama CUF? Au wenyewe ni kupiga domo tu na tunawaona wanafaa kwa kupiga domo na si vitendo!!!!! Atakiwaye kuongea ni yule afanyaye kwa vitendo na si kwa maneno!!!! WANATUDANGANYA HALI WAO WENYEWE WANATEMBELEA HAYOHAYO MA-V8

huna akiri ww na wala haufai kua gr8 thnker,unadhani hela ya kununua hvo vibajaji imetoka kwnye mfuko wa chama cha mapinduzi?ccm ilasha kununulia nini,narudia tena huna akiri.
 
Hivi kujidhalilisha kwingine ni hii hii buku 2 au kuna la zaidi?!!!

Hizo V8 ni sababu ya barabara mbovu waheshimiwa watashindwa kwenda kukagua maendeleo, lkn at the same time Bajajis can pass through
ovyooooooooooooooooooooooo watu wazima ovyooooo
 
Mpaka idadi kubwa ya watanzania itakapo jua Siasa ndiyo inaongoza maisha yoa, ndio tutapata mabadiliko kuna siku nilikuwa mbeya jamaa yangu mama yake ni ccm damu jamaa akamuuliza mama umeshawai kusikia ufisadi wa EPA au RICHMOND mama akasema hajui chochote lakini anajua kusoma na kuandika ndani ana tv na radio yeye ni nyimbo za dini tu.
 
ccm.jpg kikongw.jpg tshirt jk.jpg
 
Ambulance vibajaji 400 kwa serikali inayomiliki magari 40,000!

Huu ni ubinafsi mkubwa kwa viongozi wetu, na pia ni dharau kubwa kwa Watanzania.

Hicho kipikipiki mgonjwa anabanwa kama gunia. Vumbi, jua, mvua, kelele, na ghasia zote zinamwishia yeye

252219_10151797330065506_302681152_n.jpg

Huu sasa ni ushamba!!.
 
Back
Top Bottom