Ambulance- maajabu ya dunia na uvivu wa viongozi wetu

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Ambulance vibajaji 400 kwa serikali inayomiliki magari 40,000!

Huu ni ubinafsi mkubwa kwa viongozi wetu, na pia ni dharau kubwa kwa Watanzania.

Hicho kipikipiki mgonjwa anabanwa kama gunia. Vumbi, jua, mvua, kelele, na ghasia zote zinamwishia yeye

252219_10151797330065506_302681152_n.jpg
 
Naweza kusema kuwa masa ndio yalitumika hapa kufikiria ..mods mtanisamehe ila ni hasira kwani ukifuatilia hili wazo limeletwa ma viongozi ambao wana elimu ya juu.
 
watu wenyewe waone huku, wapo so comfortable , akiumwa hapo anatiwa kwenye kibajaji kina nape haoo wanapanda ma v8 yao na viyoyozi wanatokomea zao
wazee3.jpg
 
Mungu atufungue macho tupate viongozi wenye uchungu na sisi, Hii ni kejeli mbaya sana. Bora wangewaacha wajipandie punda wao waliowazoea na Mungu atawawajaalia
 
watu wenyewe waone huku, wapo so comfortable , akiumwa hapo anatiwa kwenye kibajaji kina nape haoo wanapanda ma v8 yao na viyoyozi wanatokomea zao
View attachment 55727

Hivi kujidhalilisha kwingine ni hii hii buku 2 au kuna la zaidi?!!!

Hizo V8 ni sababu ya barabara mbovu waheshimiwa watashindwa kwenda kukagua maendeleo, lkn at the same time Bajajis can pass through
 
Kwakweli ukiifikiria sana Tz waweza kuishia kupata ulcers bure! Na kwa bahati mbaya unaowaonea huruma wala hawajihurumii! We have a long way to go!

Hivi kujidhalilisha kwingine ni hii hii buku 2 au kuna la zaidi?!!!

Hizo V8 ni sababu ya barabara mbovu waheshimiwa watashindwa kwenda kukagua maendeleo, lkn at the same time Bajajis can pass through
 
watu wenyewe waone huku, wapo so comfortable , akiumwa hapo anatiwa kwenye kibajaji kina nape haoo wanapanda ma v8 yao na viyoyozi wanatokomea zao
View attachment 55727

hawa LAZIMA watakua wangoni tu! nashukuu mungu mamangu magamba lakini alisha kataa kujidhalilisha eti kisa chama..mazaf** mila ya kishenz sana hii ya kugalauka..damn..hii picha imeniharibia siku Saint Ivuga
 
pole sana mimi ilishaniharibia siku toka juzi
 
Hivi kujidhalilisha kwingine ni hii hii buku 2 au kuna la zaidi?!!!

Hizo V8 ni sababu ya barabara mbovu waheshimiwa watashindwa kwenda kukagua maendeleo, lkn at the same time Bajajis can pass through

Hata kama inapita kokote, lakini haiwezi kuwa ambulance. Kwa mwendo wake tu, mgonjwa atafia njiani !!!! Au kama ni Expecting Mother, atajifungulia njiani !!
 
hawezi kujifunua atakufaa yeye na mwane
 
Subiri kidogo, chunguza ni nani aliasisi wazo la Ambulance - Bajaji na aliyepewa Tenda ya kuziagiza na kuzisambaza. Waweza kuta ni huyo huyo !!!!

umeushtua sana UBONGO WANGU......SANASANA,,,,sasa nawaza kivingine juu ya bajaj
 
Back
Top Bottom