Ambulance ( gari la kubeba wagonjwa)

Sijui ni kweli hili

Neno AMBULANCE huandikwa kinyume mbele ya gari la wagonjwa ili dereva wa gari la mbele aweze kulisoma vizuri kupitia kioo cha gari lake. Swahili Times on Twitter
Kioo unachotumia kuangalia nyuma ukiendesha(rear view mirror) ni plane mirror. Images kwenye plane mirror ni laterally inverted yaani ukiangalia kioo unajiona lakini kulia kunakuwa kushoto na kushoto kunakuwa kulia. Sasa yale maneno kwenye ambulance yangeandikwa kiusahihi wewe unaeendesha gari ukiangalia nyuma kupitia kioo ungeyaona kinyumenyume hivyo usingeelewa. Sasa wameyageuza ili plane mirror image(laterally inverted) iyageuze kuwa sawa.
 
Physics form III
 
Jf Ni Kweli Chimbo La Maarifa . Big Up [HASHTAG]#pawaga[/HASHTAG] , Thumb Up [HASHTAG]#RRONDO[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom