Amber Rutty ni mwanamke jasiri (Bravely Woman) kuwahi kutokea

Ni kweli mkuu sometimes we need to be +ve hasa pale mtu anapoomba msamaha.
Huyo binti ni jasiri, mabinti wengi huishia kujiua au kua mraibu wa dawa za kulevya kwasababu ya stress.
Halafu sisi binadamu ni wanafik sana.Tunavyoukomaliaga huo msamaha utafikir katukosea sisi na sisi ndio wenye funguo za mbinguni.
Kumbe wengi wetu wana mabaya mengi ya kutisha huko sirini ni vile tu hayatajwi hadharani.
Yani utakuta mtu anamroga mwenzie asipate rizki nae anajiona mtakatifu kuliko Ambaer Ruty.Upuuzi mtupu sisi
 
Ndio binadamu tulivo mkuu. Yani kama dhambi yako haijaonekana basi utamkandia yule ambae imeonekana.
Ni wengi tu wanafanya mapenzi kinyume na maumbile hata humu jf wengi tu na wanasema wazi kabisa, ila ikiletwa thread kama hii amber ruty ataonekana mkosaji namba 1.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom