Amber Rutty na Mumewe Wahukumiwa Kwenda Jela Miaka 5 Au Kulipa Faini Kwa Kosa la Kufanya Mapenzi Kinyume na Maumbile

Unajua yanayofanyika kwa siri?Mimi naungana na anayesema kosa lilipaswa kuwa kusambaza video na si hilo la kuingiliwa kinyume!
Kama tunaogopa Sodoma na Gomora basi maana yake serikali ina dini!Kwa maana hiyo ili kuzuia kabisa watu wawe wanapimwa tupu zao za nyuma kama wameingiliwa na watakaokutwa weingiliwa washitakiwe na kufungwa!Hapa ni kama tunataka kutokomeza kabisa mchezo huo na sio maigizo!
Wamehukumiwa kwa mujibu ya sheria zilizipo
 
...Hivi Luna mtakaojitokeza kuwalipia faini binadamu hawa waliojiweka hadharani wakilana tackle??
Kawapeni Masikini hizo hela ndugu zanguni...Mtapata Baraka..!
 
Hukumu imetolewa leo na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu DSM

Washtakiwa wameshindwa kulipa faini na hivyo wamepelekwa gerezani kuanza kutumikia adhabu yao.



=====

Nimezingatia hoja za pande zote mbili na athari za makosa haya, ni kweli washitakiwa wote vijana na wanategemewa, nimeona mshitakiwa wa kwanza anajutia, kutokana na mazingira ya kesi hii adhabu yake ni miaka 30 kila kosa ambapo nikiwafunga mtapotea kabisa" amesema Hakimu Mkazi Mfawidhi Godfrey Isaya

"Hivyo kwa mazingira mliyoyasema na lengo la adhabu ni kujirudi, mshitakiwa wa kwanza utalipa Milioni 3 ama jela miaka 5 (Amber Rutty) mshitakiwa wa pili utalipa faini ya milioni 3 ama jela miaka 5 (Said Bakary ) na mshitakiwa wa tatu faini milioni 5 ama jela miaka 5 (James Charles) na adhabu zitaenda sambamba" ameongeza
Naomba kuuliza kwa sababu mimi hii kesi ndio kwanza naisikia leo hapa, Hivi ni kwa nini mshitakiwa wa tatu amepewa miaka mitano wakati washitakiwa wenzake wamepewa miaka mitatu? Pia huyu mwanamme mmoja anaonekana kama ni shoga, jee yeye na huyu mwanamke ndio walioingiliwa kwa nyuma au hawa wanaume wote walimuingilia huyu mwanamke kwa nyuma?
 
Back
Top Bottom