Amber lulu asema alipata division two ya 34

Nadhani wanaongea uongo makusudi ili waongelewe kwenye media. Pia yule aliyedai ana miaka 19, body language utajua alikuwa anadanganya uku anajua waliokuwepo pale wanajua anadanganya!
 
Hii ndo critical thinking
Labda katika shule yao waliopata division two walikuwa 34 au zaidi (serial number), hivyo amehesabu two ya mtu wa kwanza mpaka wa 34 na ndio iliyokuwa na jina lake.
 
Mabaharia tunasem 2014 kulikuwa na mfumo wa GPA ktika matokeo
Distinction 1
Merit 2
Credit 3
Pass 4
 
Back
Top Bottom