blackhandsome7
Member
- Jul 13, 2018
- 52
- 59
Ukitaka utajirike toa pombe dar peleka zanzibar hamna hasara pombe zinanyweka bei kubwa lakn kama znagawiwa bure
OkayMayai ya jumla mzee babq
Basmati rice..
Sio kweli sana mkuu. Ule ni kwaajiri ya mapishi ya biriani. Ila unapotaka kupika pilau au wali wa kawaida then mchele mzuri ni huu wetu wa bara especially ile mbegu ya Mchele wa mbeya au shinyanga huwa inadatisha sana.
Kweli mkuu Mayai huwa naona yamepakiwa kwenye pick up, kupakiliwa kwenye boti za kwenda Zanzibar.Eeh uchoyo wa mafanikio ndio asili yetu. Humu raia wanasema mayai zanzibar mengi ila kuna mwana anayavusha toka bara huku. Ndio business yake.
Mkuu ivi mbuzi tanga bei gani maana kuna chimbo la mbuzi sehumu inaweza ikawa fulusaMkuu Zanzibar nauli Tsh 60,000 kata maji ukajionee mwenyewe.
Hivi karibuni nilikuwa Handeni, nilikuta kuna wazanzibar wengi tu wanakuja kununua mbuzi minadani. Wanabeba kwenye mafuso mpaka Tanga mjini then wanapandisha boti kwenda Zanzibar.
Mkuu ivi mbuzi tanga bei gani maana kuna chimbo la mbuzi sehumu inaweza ikawa fulusa
Ukitaka utajirike toa pombe dar peleka zanzibar hamna hasara pombe zinanyweka bei kubwa lakn kama znagawiwa bure
Ndo maana nimeuliza kwa tanga mbuzi bei maana kuna mkoa mbuzi bei cheeHebu fuatilia tuingie mzigoni aisee
Kwani ukishare hapa inakuaje mkuu...Mkuu, mimi sina uzoefu na biashara za zenji ila kama uko serious karibu pm nikwambie nini unaweza kufanya haswa kuanzia mwezi wa sita, utakuja kushuhudia hapa..
huu super kyela ndo ule kama mtamu ivi ukiula na una harufu sana na mafuta futa ivi? Maana nimeutafuta sn huu mchele huku zenji but sijawahi kubahatika kuupata, huwa nakula siku moja moja nikienda kutembea Dar...Huo mchele super kyela kwa dar tu, huwa unafika 3000!!kuna super na suoer kyela!!sembuse zanzibar?au unaongelea kipindi hiki ambapo mchele ni bei ndogo?
Ndio huo Mkuuhuu super kyela ndo ule kama mtamu ivi ukiula na una harufu sana na mafuta futa ivi? Maana nimeutafuta sn huu mchele huku zenji but sijawahi kubahatika kuupata, huwa nakula siku moja moja nikienda kutembea Dar...
Shukrani snaa, nimekuwa nikiutafuta sana huu mchele na jina lake, ila nimeukosa..nazani hii mbegu imeanza kuadimika....mwisho wa siku nimeamua kuula wa Shinyanga tu, mana kuna muuzaji mmoja alinishawishi kwmb na wenyewe sio mbaya, na kweli ni mchele mzuri ila haujafikia hiyo kyela.
Unaweza kununua kwa Tsh 50,000 na ukauza hapo hapo kwa Tsh 65,000 hapo hapo mnadani kutegemeana na ukubwa wa mbuzi.Mkuu ivi mbuzi tanga bei gani maana kuna chimbo la mbuzi sehumu inaweza ikawa fulusa
Ni kweli mkuu ata wa shinyanga ni mzuri Ila wa kyela ni special, ule ukipika nyumba nzima inanukia wali, tofauti kidogo na mchele mwingine mtu kujua kama Unatoa hashimu lungwe hadi aone umepalia Moto juu ya mfunikoShukrani snaa, nimekuwa nikiutafuta sana huu mchele na jina lake, ila nimeukosa..nazani hii mbegu imeanza kuadimika....mwisho wa siku nimeamua kuula wa Shinyanga tu, mana kuna muuzaji mmoja alinishawishi kwmb na wenyewe sio mbaya, na kweli ni mchele mzuri ila haujafikia hiyo kyela.
hahahahahaaaa, kweli kabisa!Ni kweli mkuu ata wa shinyanga ni mzuri Ila wa kyela ni special, ule ukipika nyumba nzima inanukia wali, tofauti kidogo na mchele mwingine mtu kujua kama Unatoa hashimu lungwe hadi aone umepalia Moto juu ya mfuniko
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio huo!!dar kwenyewe ukienda kwenye masoko kama ya kisutu, ndio upo, lakini huuwezi kuupata kwa buza, mbagalahuu super kyela ndo ule kama mtamu ivi ukiula na una harufu sana na mafuta futa ivi? Maana nimeutafuta sn huu mchele huku zenji but sijawahi kubahatika kuupata, huwa nakula siku moja moja nikienda kutembea Dar...