Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 8,310
- 16,480
Mnapoizungumzia Zanzibar ya sasa mkumbuke pia kuwa kuna mchanganyiko mkubwa sana wa raia wake kwa miaka ya sasa.We peleka mchele wako wa BAHI au Wa KAHAMA uone kama hujaumwaga baharini.
Kule ni wazee wa Bismat rice.
Hivyo basi mchele kama wa Mbeya unauzika sana tena sana. Maharage. Sembe/dona. Na baadhi ya nafaka ambazo tumezoea zinapatikana huko bara.
Raia wa bara ni wengi huku kuliko mnavyodhani. Na hata Wazanzibar wanaojua hasa kula vyakula vyenye afya wanatumia zaidi mchele wa mbeya.
Pia huo mchele wa basmat aina nyingi ni bei ghali sio watu wengi wanaomudu izo bei sana sana wakikosa mbeya wanatumia mapembe.