MchunguZI
JF-Expert Member
- Jun 14, 2008
- 4,006
- 2,166
- Wa-Tanzania wakati mwingine tuache majungu majungu, huyu mama ni kichwa na anafaaa sana binafsi ninamkubali, akiwa UK amelitangaza sana taifa letu kwenye utalii, amewaunganisha sana wananchi wetu kule, sijawahi kusikia Chadema wamefungua tawi kule akakataa kwenda, toka amefika DC tayari tunausikia tena ubalozi wetu kule, I mean mnyonge mnyongeni!
- However: sina uhakika alifikaje kwenye ubalozi, lakini in her case the end justifies the means!, Wa-Tanzania tuache majungu majungu huyu mama ni kichwa sana na taifa tunahitaji viongozi kama huyu! Creative na Active!
William @ NYC, USA.
Kichwa ndo nini? Kagundua nini? Kaandika nini cha kusifiwa dunia hii ya Tanzania?
Una haki ya kutoa maoni yako lakini nadhani unakwenda mbali. Unashabikia bila analyses.
Hata John Samweli Malecela Tulidhani ni kichwa kama wana Dodoma wengi walivyodhani. Akaishia kuwatelekeza wakifa kwa njaa na kuwaambia,
"GO TO HELL"
Kichwa kikapotea!