Mkuu inaonyesha upo kazini kwa zaidi ya miaka 5. Hongerahahaha haya mkuu nimekuelewa,nitajifunza kuandika lol
Andika vizuri mkuu
Huku sisi ni kilimo tu ndiyo ajira yetu.hahaaa ungejua,nasugua bench,usingesema hivyo.lol
Uhakiki mpaka 2018Nadhani anaongelea uhakiki wa Kairuki(wafanyakaz upepo)
Mkuu huwezi kilimo yataka moyo (mahindi, mbaazi, alzeti, mtama, mpunga na ngano).unalima nini?nije kukusaidia....?
Inalima pesa lakini inatakiwa kuwe na close supervisionNaweza bwana,kwani unalima mwenyewe?lol...........