Ambao hatutaki ajira Serikalini tujumuike, tutete

Kuna tatizo la kiufundi boss

Sent using Jamii Forums mobile app
1)Mkuu ulimaliza form ukatoroka nyumabani ukaingia mjini ukiwa na 400 mfukoni
2) 2015 umegraduate chuo ualimu, hii imekaaje ..Nani alikusomesha baada ya kutoroka nyumbani?
3) umemaliza sawa, Nani alikupa mtaji? Kulingana na mazingira yako ni biashara uianzishe haraka hivyo itoe output profit ya 700k mpaka 1m per month
4) maswali ni mengi kwa hii thread but naona Kama hamna uhalisia


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya sasa nilikuwa napata msosi hotel moja hapa matata lakini kuna fujo zilitokea nahisi zilikuwa zinahusu kuingiliana wanawake hivyo kelele zao zimenichelewesha kidogo kuleta huu uzi




Umeandika kana kwamba kuna watu walikuomba uanzishe hii thread.

Halafu hakukuwa na haja za hizo je wajua kwasababu ndio maisha ya tuliokulia watanzania wengi.

Ifike mahali tuone kupitia shida nyingi sio ufahali.
 
Anatakiwa aingize laki ngapi ili story yake iwe ya kweli ?
Process za mafanikio hazpo hivyo..ili uingize hela ya namna hiyo kibiashara tena biashara halali siyo ya magendo lazima uwe na capital ya maana...kwa mda aliomaliza chuo mpak kuanza kuingia such amount of money per month ni mdog sana..swali linakuja mtaj alipata wap..inawezekana kuingiza hyo hela kama alifumania gap mahala au magendo au biashara bahati na sibu za forex, qnet, forever living and so on..... issue ambayo kwa kijana wa kitanzania ni changamoto labda ngekewa
 
Watu ambao walikutesa ukajisomesha advance kwa sh. Mia NNE mpaka chuo wanawezaje kukupagia ua apply kazi ya ualimu ikhali unawapa laki 2 kila mwezi?
Kuna kitu hakipo sawa, na mmoja wenu ana tatizo kichwani.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Mambo ni mengi, muda ni mchache na dead line ya kuomba nafasi za ualimu inabisha hodi na website ya otea imekuwa ya kuotea kweli kweli, ukiweka transcript inaleta grade A certificate, ukipiga simu kwenye helping desk wanakata, unaamua kukesha mtandao unakuwa busy usiku kuliko mchana mara paaaa unamsikia Jafo anatangaza kwamba serikali imetangaza ajira watu wamekataa kuomba hivyo serikali isilaumiwe. Unarudi kwenye biashara napo unagundua kumbe ile faida ya 700,000-1,000,000 kwa mwezi nayo ulikuwa ndotoni baada ya kushiba maharage....basi mambo yasiwe mambo.
 
Back
Top Bottom