Kuna tatizo la kiufundi bossMkuu Mbona Title Ya Thread Imebadirika Ila Content Ni Ile Ile Kama Ya Uzi Uliopita
1)Mkuu ulimaliza form ukatoroka nyumabani ukaingia mjini ukiwa na 400 mfukoni
Haya sasa nilikuwa napata msosi hotel moja hapa matata lakini kuna fujo zilitokea nahisi zilikuwa zinahusu kuingiliana wanawake hivyo kelele zao zimenichelewesha kidogo kuleta huu uzi
Anatakiwa aingize laki ngapi ili story yake iwe ya kweli ?story ya uongo hii. hakuna graduate mwenye uwezo wa kujiajiri na kuingiza laki nane kwa mwez
Kwa kuwa wewe umeshindwa. ??story ya uongo hii. hakuna graduate mwenye uwezo wa kujiajiri na kuingiza laki nane kwa mwez
Process za mafanikio hazpo hivyo..ili uingize hela ya namna hiyo kibiashara tena biashara halali siyo ya magendo lazima uwe na capital ya maana...kwa mda aliomaliza chuo mpak kuanza kuingia such amount of money per month ni mdog sana..swali linakuja mtaj alipata wap..inawezekana kuingiza hyo hela kama alifumania gap mahala au magendo au biashara bahati na sibu za forex, qnet, forever living and so on..... issue ambayo kwa kijana wa kitanzania ni changamoto labda ngekewaAnatakiwa aingize laki ngapi ili story yake iwe ya kweli ?
Sioni hata kitu gani umeandika kama graduate!! Na hapa kinachoonekana in maelezo ya kipato chako kuliko uliyopitia ambacho nacho hakieleweki,