Ambao hatukuitikia kampeni ya kujiandikisha kupiga kura

ze farmer

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
921
1,800
Sasa naona sisi ndio tuna faida sasa hivi.

Maana kila aliyegombea kupitia CCM kapita bila kupingwa. Nyie wenzetu mlienda kujiandikisha ili iwaje? Mwaka ujao tena kuna uchaguzi mtaenda kujiandikisha tena si ndio? Maoni yangu binafsi tuwe na chama kimoja mbona kinafanya kazi nzuri sana hata bila upinzani.

Nimemaliza.
 
Sikujiandikisha kwasababu uchaguzi na haki ya mpga kura havizingatiwi. Sikujiandikisha kwa sababu eti chama cha M kinafanya vizuri, la hasha, kwasababu hakuna haki ya kuchagua kiongozi unayemtaka. Nitaenda kujiandikisha tu pale kutakapokuwa na tume huru Tume ya Uchaguzi. OVA
 
Back
Top Bottom