Ambaka mtoto wa darasa la sita hadi kumuua, ajisalimisha Polisi

The Sun-of-a Beach,
du mkuu hakika hawa watu wanatibua akili yaani hao kweli wanatakiwa adhabu yao ni kufa kwa kukatwa kiungo kimojakimoja mwezi mmoja mpaka ana bakiza shingo tu
 
Kama mtuhumiwa amejisamisha mwenyewe Polisi,hao watu wengine wanne waliokamatwa ni kwa ajili ya nini.?
Poleni wafiwa kwa msiba.
 
Labda sijaelewa vyema au mwandishi hakumwagika vizuri!
Kabakwa mpaka kafa...??
 
Back
Top Bottom