Ambae aliwahi kukopeshwa pesa na hawa wanaojiita Islamic bank atoe ushuhuda hapa

Mimi niliomba 750M lakin katika kutumia nilitumia 602M, baada ya kulipwa nilienda pale ili wakate hela yote, wakati wanapiga hesabu waliangalia muda ambao nimekaa na hela yao wakazidisha wanavyojua. Jumla nilirejesha 666M
602-666 the remain ilikwenda wapi ??
 
Mimi niliomba 750M lakin katika kutumia nilitumia 602M, baada ya kulipwa nilienda pale ili wakate hela yote, wakati wanapiga hesabu waliangalia muda ambao nimekaa na hela yao wakazidisha wanavyojua. Jumla nilirejesha 666M
Kwa hesabu zao ndo riba inaonekana humo au sio
 
Hivi nani aliwahi kukopeshwa pesa na hawa ISLAMIC BANK?

kama hawakopeshi pesa wanakopesha nini?

Je hicho wanachokopesha wanauza wao au wanaenda kukununulia wao dukani kwa pesa zao then wanakupa?

Naomba kwa wenye uelewa wanielekeze hapa ili nione kama kweli hawana riba ama wanaificha ficha na kuipunguza makali.
Ni namma ya kuipa jina lingine. Mfano, unatafuta gari. Wao wanamlipa dealer. Then wewe unawalipa wao kwa installment.
Ungekwenda kununua moja kwa moja ingekuwa cheaper! Wengi wamestukia hilo. Mara nyingi hawakupi cash ili ukanunue mwenyewe.
 
Kwangu mimi siamini kama kuna Islamic Bank.

Nimemaliza ....
 
Wanachokifanya hawa jamaa kama unahitaji mabati basi wao unawapeleka kwenye duka la hayo mabati wanakulipia kisha wewe utamalizana nao, hawa jamaa ni kama wanariba vile sema wanaleta ujanja ujanja tu
Sasa kama mkopo nilitaka kufanya shopping ya mama itakuwaje?
 
Bora wangeipa jina lingine tu kuliko islamic bank.

Kwa sababu hyo kitu ni RIBA tu.
Yani ni sawa na mwanamke anayejiuza barabarani.
Na mwingine hajiuzi anakaa kwao ila ana wapenzi wengi.

Hawa wote ni wazinifu ila huyu wa barabarani anaonekana mbaya zaidi ya yule anayetunza.

Kwa mantiki hiyo.yule anayetunzwa ni mbaya zaidi kwa sababu kajificha ficha kuliko aliyekuwa waazi pale barabarani.
Ni namma ya kuipa jina lingine. Mfano, unatafuta gari. Wao wanamlipa dealer. Then wewe unawalipa wao kwa installment.
Ungekwenda kununua moja kwa moja ingekuwa cheaper! Wengi wamestukia hilo. Mara nyingi hawakupi cash ili ukanunue mwenyewe.
 
Hizi banking nimeziona UK
Walianza mda mrefu sana na zimeongezeka
Sijui utaratibu wa huko ila hapa ni tofauti na bank za kawaida sana
 
Swali la msingi hapa ni...RIBA ni nin hasa?!

Mie sina jibu sahihi ila nitajiwekea mifano!

Ninapoenda dukan kununua kiberiti...muuzaji alikinunua tsh 10...mie kaniuzia tsh 15....katika muktadha huu...hii sh 5 aliyopata mwenye duka ni nn?! Ni riba au ni faida?! Sijui.

Lakin vip ninapokopa lak 1 kwa bwana x. Bwana x ananiambia siku nikirudisha utalipa na elf 10 ya ziada. Je hii elf 10 katika muktadha huu ni nini? !riba au faida? Sijui!

Nisaidie kujua riba ni nn na faida ni nn kisha niwahukumu hawa waislam.
 
Hiyo uliyoainisha ya kwanza ni biashara kama biashara zingine
Na haiingii kwenye Riba
Hiyo ya kukopa na aliekukopa akakuambia utaporudisha utaongeza na faida juu, hiyo ndio riba
Mimi ninapokukopa million nataka unirudishie mil yangu tu kwani nimekukopa kwa hiari yangu na urudishe kama ilivyo

Sasa kama Bank au taasisi zingine unakopa ili ulipe cha juu hiyo ni riba, iwe pesa au chochote
 
Back
Top Bottom