Ambacho wengi wenu hamkielewi mwisho wa CCM ndiyo mwisho wa Tanzania!

Mtabisha,sawa.

Ukweli uliyo mchungu ni kuihusu CCM. Chama hiki ni Kikongwe na chenye mizizi iliyopitiliza!Hakuna mahali CCM hakina tawi lake iwe katika Idara,Taasisi na hata kwenye Majeshi-na huo ndiyo Ukweli.

Kwa muktadha huo, hakika mwisho wa DUDE HILO ndipo mwisho wa USTAWI WA TZ!

Hawa aki Tundu lissu na kina Mbowe hawana na KAMWE HAWEWEZI kujisimamia hata CCM ikiondoka Madarakani kuiendesha Nchi.

Wote ni wachumia na wataka Madaraka tu na kwayo wakiyapata ndiyo mwisho wa STAREHE YA NAFSI ZAO.Kifupi,WANATAMANI KUPIGIWA SALUTI NA KUFUNGULIWA MILANGO YA GARI NA KULIPIZA VISASI.Ndicho watachoweza!Lakini kwa maana nzima ya mipango na kuendesha Nchi bado hawajipanga na hawana uwezo huo.
Kwa mkono Hodari wa Mungu Mwenyezi tutawatoa na tz itakuwa salama zaidi mara 1000

Sent using Sukhoi Su-57
 
sawa. ni vizuri zaidi kuanza upya na kitu kipya kizuri.

ukitaka kujenga ghorofa kwenye kiwanja kilichojengwa kibanda cha mbavu za mbwa, shurti ukibomoe kibanda kwanza!
Siyo kwa urahisi kama uudhaniao ndugu.

Nakufahamu upo jf kama mpinzani lakini tambua ninapo sema CCM ni dude tambua namaanisha!

Mwisho wa CCM utaiacha Nchi hii mavumbi kabisa!Kwa vyovyote vile CCM haiwezi kuacha madaraka kirahisi hi hivyo kama mnavyodhani.

Dude CCM hakuna mahali popote hapa Tz halipo.Na CCM ipo mbele kila siku kiteknolojia na hapo nielewe vizuri.Uwapo wao mbele kiteknolojia ndipo kilipo kiburi na jeuri ya CCM!
 
Katiba inasema tanzania ni nchi ya vyama vingi, mwisho wa ccm utakuwaje mwisho wa Tanzania.
Mwisho wa tanzania ni kama Zanzibar itaamua kujitenga au Africa itakapogawanyika eneo la bonde la ufa maelfu ya miaka ijayo.
 
Mtabisha,sawa.

Ukweli uliyo mchungu ni kuihusu CCM. Chama hiki ni Kikongwe na chenye mizizi iliyopitiliza!Hakuna mahali CCM hakina tawi lake iwe katika Idara,Taasisi na hata kwenye Majeshi-na huo ndiyo Ukweli.

Kwa muktadha huo, hakika mwisho wa DUDE HILO ndipo mwisho wa USTAWI WA TZ!

Hawa aki Tundu lissu na kina Mbowe hawana na KAMWE HAWEWEZI kujisimamia hata CCM ikiondoka Madarakani kuiendesha Nchi.

Wote ni wachumia na wataka Madaraka tu na kwayo wakiyapata ndiyo mwisho wa STAREHE YA NAFSI ZAO.Kifupi,WANATAMANI KUPIGIWA SALUTI NA KUFUNGULIWA MILANGO YA GARI NA KULIPIZA VISASI.Ndicho watachoweza!Lakini kwa maana nzima ya mipango na kuendesha Nchi bado hawajipanga na hawana uwezo huo.
Hayo ni mawazo yako na uwezo wa ubongo wako, ccm sio TZ.
 
Hiyo Roma iliangushwa na watu waliojipanga na si kama hawa wetu ambao kuzurula na kutapika nyongo zao ndilo dhanio Lao kwamba watayapata Madaraka.

Huwezi kutawala kwa kutegemea msaada pekee bila wewe kwanza kujipanga!

Huwezi kuwa na mipango mizuri kwa eti kupigiwa makofi machache na ulio walazimisha waje ili uwaeleze yaliyo kupata!

Wewe upo USA na mnavyomdanganya ndg yenu ni sawa na kumpotezea mda wake bure!
Kumbe LISSU ndio anakupa TABU SANA Aseee.

Mwaka huu MTATAGA YAI LA MBUNI wauaji nyie.
 
Huko ni kijidanganya. Soma historia ndugu yangu. Hata hao wanaCCM idara tofauti kama hawaboreshewi maslahi mazuri hawatetei chochote.

Ghaddafi moja ya viongozi walioboresha sana maisha ya watumishi na wananchi kwa ujumla lakini mwisho wa siku hao hao ndio walishika silaha.

Wananchi pia wakichoka huwezi kufanya lolote wala hao hawawezi kutetea ( kwanza fatilia wengi wao wanalalamika ugumu wa maisha sasa hivi). Kama wananchi hawajachoka CCM ushindi 100%, wakichoka basi angalia kipindi cha Mapinduzi na Mabadiliko katika nchi za kiarabu miaka michache iliyopita maarufu "Arab Spring"
 
Mtabisha,sawa.

Ukweli uliyo mchungu ni kuihusu CCM. Chama hiki ni Kikongwe na chenye mizizi iliyopitiliza!Hakuna mahali CCM hakina tawi lake iwe katika Idara,Taasisi na hata kwenye Majeshi-na huo ndiyo Ukweli.

Kwa muktadha huo, hakika mwisho wa DUDE HILO ndipo mwisho wa USTAWI WA TZ!

Hawa aki Tundu lissu na kina Mbowe hawana na KAMWE HAWEWEZI kujisimamia hata CCM ikiondoka Madarakani kuiendesha Nchi.

Wote ni wachumia na wataka Madaraka tu na kwayo wakiyapata ndiyo mwisho wa STAREHE YA NAFSI ZAO.Kifupi,WANATAMANI KUPIGIWA SALUTI NA KUFUNGULIWA MILANGO YA GARI NA KULIPIZA VISASI.Ndicho watachoweza!Lakini kwa maana nzima ya mipango na kuendesha Nchi bado hawajipanga na hawana uwezo huo.
Mawazo ya kijinga kabisa hayo CCM imetawala kwa zaidi ya nusu karne sasa nchi bado imegota kwenye tope la umasikini licha ya raslimali lukuki tulizojaaaliwa na Mwenyezi Mungu. Ni CCM hii iliyoifukarisha nchi yetu,kufa kwa CCM ndiyo kuzaliwa upya kwa Taifa hili teule. Ilaaniwe CCM milele na milele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili nyingine bwana,yani we ulitaka wajipangaje..!?

Waanze kukusanya kodi na kufanya miradi ya maendelea kabla ya kuchukua dola..?Au wewe ulitaka wajipangaje.!?

Mbona mnakuwa na akili mbovu sana huko Lumumba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtabisha,sawa.

Ukweli uliyo mchungu ni kuihusu CCM. Chama hiki ni Kikongwe na chenye mizizi iliyopitiliza!Hakuna mahali CCM hakina tawi lake iwe katika Idara,Taasisi na hata kwenye Majeshi-na huo ndiyo Ukweli.

Kwa muktadha huo, hakika mwisho wa DUDE HILO ndipo mwisho wa USTAWI WA TZ!

Hawa aki Tundu lissu na kina Mbowe hawana na KAMWE HAWEWEZI kujisimamia hata CCM ikiondoka Madarakani kuiendesha Nchi.

Wote ni wachumia na wataka Madaraka tu na kwayo wakiyapata ndiyo mwisho wa STAREHE YA NAFSI ZAO.Kifupi,WANATAMANI KUPIGIWA SALUTI NA KUFUNGULIWA MILANGO YA GARI NA KULIPIZA VISASI.Ndicho watachoweza!Lakini kwa maana nzima ya mipango na kuendesha Nchi bado hawajipanga na hawana uwezo huo.
Mzee wangu KK kuna maneno alipenda kuyatumia "Stupid idiot" kwa hiyo waachiwe wafanye wanalotaka kwani kwako wewe CCM ndio Tanzania. Umethibitisha kuwa bila vyombo vya dola CCM si chochote si lolote. Kimantiki sio chama.
 
Mtabisha,sawa.

Ukweli uliyo mchungu ni kuihusu CCM. Chama hiki ni Kikongwe na chenye mizizi iliyopitiliza!Hakuna mahali CCM hakina tawi lake iwe katika Idara,Taasisi na hata kwenye Majeshi-na huo ndiyo Ukweli.

Kwa muktadha huo, hakika mwisho wa DUDE HILO ndipo mwisho wa USTAWI WA TZ!

Hawa aki Tundu lissu na kina Mbowe hawana na KAMWE HAWEWEZI kujisimamia hata CCM ikiondoka Madarakani kuiendesha Nchi.

Wote ni wachumia na wataka Madaraka tu na kwayo wakiyapata ndiyo mwisho wa STAREHE YA NAFSI ZAO.Kifupi,WANATAMANI KUPIGIWA SALUTI NA KUFUNGULIWA MILANGO YA GARI NA KULIPIZA VISASI.Ndicho watachoweza!Lakini kwa maana nzima ya mipango na kuendesha Nchi bado hawajipanga na hawana uwezo huo.
Haina mizizi yoyote CCM naona unajiongopea. Kama Polepole kwako ni mzizi, au Bashite kwako ni mzizi basi huijui mizizi wewe! Na ufute ujinga wako eti mwaisho wa CCM ndio mwisho wa Tanzania. Ulisikia wapi asili ikaondilewa na mwana Asili? Kwani ipi ilikuwepo kwanza kati hizo mbili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungejua kuwa hata ndani ya CCM kuna watu ambao hawakubaliani na ukiukwaji wa Katiba, Sheria na kanuni mbali mbali zinazotunganisha kamaTaifa.

Badala yake kunaibuka mtu, watu, chama, Tasisi, n.k, nakujifanya wao ndio wanaweza na kujua namna nzuri ya kuongoza Taifa hili!.

Ndugu yangu hakuna mtu aliyesoma na kuelimika atakae kubaliana na upuuzi unaoendelea katika nche yetu, ukiona kimya kingi kina kishindo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtabisha,sawa.

Ukweli uliyo mchungu ni kuihusu CCM. Chama hiki ni Kikongwe na chenye mizizi iliyopitiliza!Hakuna mahali CCM hakina tawi lake iwe katika Idara,Taasisi na hata kwenye Majeshi-na huo ndiyo Ukweli.

Kwa muktadha huo, hakika mwisho wa DUDE HILO ndipo mwisho wa USTAWI WA TZ!

Hawa aki Tundu lissu na kina Mbowe hawana na KAMWE HAWEWEZI kujisimamia hata CCM ikiondoka Madarakani kuiendesha Nchi.

Wote ni wachumia na wataka Madaraka tu na kwayo wakiyapata ndiyo mwisho wa STAREHE YA NAFSI ZAO.Kifupi,WANATAMANI KUPIGIWA SALUTI NA KUFUNGULIWA MILANGO YA GARI NA KULIPIZA VISASI.Ndicho watachoweza!Lakini kwa maana nzima ya mipango na kuendesha Nchi bado hawajipanga na hawana uwezo huo.

Hiyo hoja ya kwanza kwamba CCM imeota mizizi ina ukweli lakini hiyo la pili kwamba akina mbowe na Lissu ni wachumia tumbo na wanatafuta madaraka na kupigiwa saluti na kulipiza visasi linahitaji uthibitisho madhubuti.

Ni kweli kushika nchi ni lazima mtu ujipange sawasawa na hasa katika nchi kama hii yetu tangu 1961 hadi leo tupo ndani ya uongozi wa chama kilekile.
 
Mtabisha,sawa.

Ukweli uliyo mchungu ni kuihusu CCM. Chama hiki ni Kikongwe na chenye mizizi iliyopitiliza!Hakuna mahali CCM hakina tawi lake iwe katika Idara,Taasisi na hata kwenye Majeshi-na huo ndiyo Ukweli.

Kwa muktadha huo, hakika mwisho wa DUDE HILO ndipo mwisho wa USTAWI WA TZ!

Hawa aki Tundu lissu na kina Mbowe hawana na KAMWE HAWEWEZI kujisimamia hata CCM ikiondoka Madarakani kuiendesha Nchi.

Wote ni wachumia na wataka Madaraka tu na kwayo wakiyapata ndiyo mwisho wa STAREHE YA NAFSI ZAO.Kifupi,WANATAMANI KUPIGIWA SALUTI NA KUFUNGULIWA MILANGO YA GARI NA KULIPIZA VISASI.Ndicho watachoweza!Lakini kwa maana nzima ya mipango na kuendesha Nchi bado hawajipanga na hawana uwezo huo.
Utabiri mzuri sana huu hata CCCP ilikuwa na imani kama hii uliyoandika hapa. Na kweli siku CCCP imeondoshwa madarakani ikawa mwisho wa USSR. Na sisi tunatamani sana mwisho wa Tanzania ya CCM badala yake ije Tanzania ya wananchi.
 
Mtabisha,sawa.

Ukweli uliyo mchungu ni kuihusu CCM. Chama hiki ni Kikongwe na chenye mizizi iliyopitiliza!Hakuna mahali CCM hakina tawi lake iwe katika Idara,Taasisi na hata kwenye Majeshi-na huo ndiyo Ukweli.

Kwa muktadha huo, hakika mwisho wa DUDE HILO ndipo mwisho wa USTAWI WA TZ!

Hawa aki Tundu lissu na kina Mbowe hawana na KAMWE HAWEWEZI kujisimamia hata CCM ikiondoka Madarakani kuiendesha Nchi.

Wote ni wachumia na wataka Madaraka tu na kwayo wakiyapata ndiyo mwisho wa STAREHE YA NAFSI ZAO.Kifupi,WANATAMANI KUPIGIWA SALUTI NA KUFUNGULIWA MILANGO YA GARI NA KULIPIZA VISASI.Ndicho watachoweza!Lakini kwa maana nzima ya mipango na kuendesha Nchi bado hawajipanga na hawana uwezo huo.
Ndio maneno mnayowahadaa nayo wafuasi wenu kwa kua ni wajinga
 
Back
Top Bottom