Ambacho wengi wenu hamkielewi mwisho wa CCM ndiyo mwisho wa Tanzania!

alexelias

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
2,034
2,000
Mtabisha,sawa.

Ukweli uliyo mchungu ni kuihusu CCM. Chama hiki ni Kikongwe na chenye mizizi iliyopitiliza!Hakuna mahali CCM hakina tawi lake iwe katika Idara,Taasisi na hata kwenye Majeshi-na huo ndiyo Ukweli.

Kwa muktadha huo, hakika mwisho wa DUDE HILO ndipo mwisho wa USTAWI WA TZ!

Hawa aki Tundu lissu na kina Mbowe hawana na KAMWE HAWEWEZI kujisimamia hata CCM ikiondoka Madarakani kuiendesha Nchi.

Wote ni wachumia na wataka Madaraka tu na kwayo wakiyapata ndiyo mwisho wa STAREHE YA NAFSI ZAO.Kifupi,WANATAMANI KUPIGIWA SALUTI NA KUFUNGULIWA MILANGO YA GARI NA KULIPIZA VISASI.Ndicho watachoweza!Lakini kwa maana nzima ya mipango na kuendesha Nchi bado hawajipanga na hawana uwezo huo.
 
chaliifrancisco

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
13,495
2,000
Endelea kuota ndoto za mchana. Kiufupi unaonekana hakuna unachokijua katika historia ya tawala za kidunia.

Kama Rome ilitawala Ulaya nzima na sehemu kubwa ya Asia kwa mamia ya miaka na bado ilianguka tu sembuse hawa wasiojielewa?

Nothing lasts forever, especially mediocre things like CCM.
 
yomboo

JF-Expert Member
May 9, 2015
6,207

Ndio mwanzo wa maendeleo chanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mgoroko

JF-Expert Member
Mar 12, 2014
692
500

Hakika wewe ni great thinker.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ruby garnet

JF-Expert Member
Apr 10, 2017
2,604
2,000
Aliondoka mkoloni na Tanzania ikabaki Leo CCM ????. Sijapata kuona MTU mwenye ufinyu wa kufikiri kama huyu.
Mtabisha,sawa.

Ukweli uliyo mchungu ni kuihusu CCM. Chama hiki ni Kikongwe na chenye mizizi iliyopitiliza!Hakuna mahali CCM hakina tawi lake iwe katika Idara,Taasisi na hata kwenye Majeshi-na huo ndiyo Ukweli.

Kwa muktadha huo, hakika mwisho wa DUDE HILO ndipo mwisho wa USTAWI WA TZ!

Hawa aki Tundu lissu na kina Mbowe hawana na KAMWE HAWEWEZI kujisimamia hata CCM ikiondoka Madarakani kuiendesha Nchi.

Wote ni wachumia na wataka Madaraka tu na kwayo wakiyapata ndiyo mwisho wa STAREHE YA NAFSI ZAO.Kifupi,WANATAMANI KUPIGIWA SALUTI NA KUFUNGULIWA MILANGO YA GARI NA KULIPIZA VISASI.Ndicho watachoweza!Lakini kwa maana nzima ya mipango na kuendesha Nchi bado hawajipanga na hawana uwezo huo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
alexelias

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
2,034
2,000
Endelea kuota ndoto za mchana. Kiufupi unaonekana hakuna unachokijua katika historia ya tawala za kidunia.

Kama Rome ilitawala Ulaya nzima na sehemu kubwa ya Asia kwa mamia ya miaka na bado ilianguka tu sembuse hawa wasiojielewa?

Nothing lasts forever, especially mediocre things like CCM.
Hiyo Roma iliangushwa na watu waliojipanga na si kama hawa wetu ambao kuzurula na kutapika nyongo zao ndilo dhanio Lao kwamba watayapata Madaraka.

Huwezi kutawala kwa kutegemea msaada pekee bila wewe kwanza kujipanga!

Huwezi kuwa na mipango mizuri kwa eti kupigiwa makofi machache na ulio walazimisha waje ili uwaeleze yaliyo kupata!

Wewe upo USA na mnavyomdanganya ndg yenu ni sawa na kumpotezea mda wake bure!
 
Kambaku

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
3,348
2,000
Nimeona unaongelea uoga wa kulipiza visasi. Kumbe unajua kama ccm inawakosea watu hivyo unaogopa kulipiza visasi.

Msiwatendee watu vibaya basi ili kuepuka uoga wa kulipwa kisasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
alexelias

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
2,034
2,000
Endelea kuota ndoto za mchana. Kiufupi unaonekana hakuna unachokijua katika historia ya tawala za kidunia.

Kama Rome ilitawala Ulaya nzima na sehemu kubwa ya Asia kwa mamia ya miaka na bado ilianguka tu sembuse hawa wasiojielewa?

Nothing lasts forever, especially mediocre things like CCM.
Hiyo Roma iliangushwa na watu waliojipanga na si kama hawa wetu ambao kuzurula na kutapika nyongo zao ndilo dhanio Lao kwamba watayapata Madaraka.

Huwezi kutawala kwa kutegemea msaada pekee bila wewe kwanza kujipanga!

Huwezi kuwa na mipango mizuri kwa eti kupigiwa makofi machache na ulio walazimisha waje ili uwaeleze yaliyo kupata!

Wewe upo USA na mnavyomdanganya ndg yenu ni sawa na kumpotezea mda wake bure!
 
okiwira

JF-Expert Member
Jul 23, 2018
1,562
2,000
Sijui kama FARAO alijua iko siku ataangamia na kuiacha MISRI ikiwa hai.
 
Saint Anne

JF-Expert Member
Aug 19, 2018
24,466
2,000
Mwisho wa CCM sio mwisho wa nchi...nchi lazima iendelee

Ila hata Kama wapinzani watapata kuongoza bado hakuna anaeweza kuongoza kila kitu kwa asilimia 100 bila kulaumiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
11,747
2,000
Mtabisha,sawa.

Ukweli uliyo mchungu ni kuihusu CCM. Chama hiki ni Kikongwe na chenye mizizi iliyopitiliza!Hakuna mahali CCM hakina tawi lake iwe katika Idara,Taasisi na hata kwenye Majeshi-na huo ndiyo Ukweli.

Kwa muktadha huo, hakika mwisho wa DUDE HILO ndipo mwisho wa USTAWI WA TZ!

Hawa aki Tundu lissu na kina Mbowe hawana na KAMWE HAWEWEZI kujisimamia hata CCM ikiondoka Madarakani kuiendesha Nchi.

Wote ni wachumia na wataka Madaraka tu na kwayo wakiyapata ndiyo mwisho wa STAREHE YA NAFSI ZAO.Kifupi,WANATAMANI KUPIGIWA SALUTI NA KUFUNGULIWA MILANGO YA GARI NA KULIPIZA VISASI.Ndicho watachoweza!Lakini kwa maana nzima ya mipango na kuendesha Nchi bado hawajipanga na hawana uwezo huo.
sawa. ni vizuri zaidi kuanza upya na kitu kipya kizuri.

ukitaka kujenga ghorofa kwenye kiwanja kilichojengwa kibanda cha mbavu za mbwa, shurti ukibomoe kibanda kwanza!
 
SK2016

JF-Expert Member
Apr 6, 2017
8,009
2,000
Mtabisha,sawa.

Ukweli uliyo mchungu ni kuihusu CCM. Chama hiki ni Kikongwe na chenye mizizi iliyopitiliza!Hakuna mahali CCM hakina tawi lake iwe katika Idara,Taasisi na hata kwenye Majeshi-na huo ndiyo Ukweli.

Kwa muktadha huo, hakika mwisho wa DUDE HILO ndipo mwisho wa USTAWI WA TZ!

Hawa aki Tundu lissu na kina Mbowe hawana na KAMWE HAWEWEZI kujisimamia hata CCM ikiondoka Madarakani kuiendesha Nchi.

Wote ni wachumia na wataka Madaraka tu na kwayo wakiyapata ndiyo mwisho wa STAREHE YA NAFSI ZAO.Kifupi,WANATAMANI KUPIGIWA SALUTI NA KUFUNGULIWA MILANGO YA GARI NA KULIPIZA VISASI.Ndicho watachoweza!Lakini kwa maana nzima ya mipango na kuendesha Nchi bado hawajipanga na hawana uwezo huo.
Yaani mkishapokea tu, mnakuja kutulisha matango pori ili nasi tufanane nanyi kimawazo.Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom