Amazon Kindle

Amazon huwa wanaship vitu kuja Tanzania ?
HAPANA, Huwa haiwezekani Ku_ship kuja Tanzania, kama hii picha ionekanavyo:-
Capture.jpg
Ila waweza kutafuta seller ambaye anaweza kutuma tanzania moja kwa moja.


PIA inawezekana iwapo utatumia maelekezo ya kwenye hii Mada: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...unuzi-kwenye-mtandao-ebay-amazon-bestbuy.html

Hitimisho

  • Mleta mada kama hajawahi kuagiza vitu online, kwanza atumie muda kujifunza kupitia thread mbalimbali zilizopo hapa JF.
 
Kuna kindle za aina mbili

Kindle reader - za kusomea vitabu nyingi ni black and white na vioo vya e-Ink

Kindle fire - tablet kama ipad yenye kioo cha rangi
 
Kuna kindle za aina mbili

Kindle reader - za kusomea vitabu nyingi ni black and white na vioo vya e-Ink

Kindle fire - tablet kama ipad yenye kioo cha rangi

Nataka kindle reader, paper white na yenye wiFI! isiwe na less than 4gb
 
Aliyekuwa anahitaji kindle ashapata au bado?
Kama Bado ana uhitaji anitafute nimuuzie kindle basic paper white
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom