Upatikanaji wake ni mgumu kwa TzMsaada, wapi wanauza amazon kindle kwa hapa Dar es salam?
Upatikanaji wake ni mgumu kwa Tz
Agiza ebay .com au toka amazon .com ndani ya siku 14 hadi 21 utakuwa umepeta mzigo wako.
HAPANA, Huwa haiwezekani Ku_ship kuja Tanzania, kama hii picha ionekanavyo:-Amazon huwa wanaship vitu kuja Tanzania ?