Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 21,596
- 38,323
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atapeleka S-600 kuzuia hayo makampunisawa, putin analifanyia kazi
https://en.wikipedia.org/wiki/AT%26THao AT&T wanashughulika na nini?
huu ni udhibitisho USA anatawala uchumi wa Dunia.
USA, USA, USA, Hawa watu ni rahisi sana kuwachallenge nyuma ya keyboads tu. Ila kwenye ahalisia bado uchumi wa dunia wameukamata
Hali halisi ipo hivyo.USA, USA, USA, Hawa watu ni rahisi sana kuwachallenge nyuma ya keyboads tu. Ila kwenye ahalisia bado uchumi wa dunia wameukamata
Alafu utatukuta kwenye vijiwe vyetu na story zetu za USA kuangushwa sijuia na naniliu. Sasa wakitaja top 100 companies unaweza kukuta 90 ni kutoka USA.Hamna hata kampuni moja toka Iran wala umangani ama Russia (GazProm)?
Naam bado sijamuelewa nami pia.Most valuable brands vs Most valuable companies.
Hapo umepuyanga.