Amani yake mungu na iwe juu yenu wapendwa.

mbona kampeni zinaanza weye ndiye unarudi?

Nampenda sana rais wa nchi yangu prezdaaa Kikwete,hata kama watu wanamponda lakini mimi naona kuwa baba wa watu anajitahidi,hata Obama kuna aliyoahidi lkn bado hajatekeleza!
watu ni wavivu wakujitafutia maendeleo wanadhani rais akisema maisha bora kwa kila mtanzania basi atawagawia ugali wa bure kila siku,maisha bora ni pamoja na sisi wenyewe kumuunga na kumtia moyo rais wetu kwa kujituma kutafuta maendeleo yetu binafsi.
naombeni mnifundishe mbinu mbalimbali zakuwashawishi watanzania kumchagua tena PREZDAAA KIKWETE ashinde ktk uchaguzi ujao kwani nina imani kabisa yeye ndio kiongozi tunayemuhitaji!C.C.M hoyeeeee!
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!
thank you!
 
Karibu mpendwa..........sijakutia machoni siku nyingi?
Habari za huko utokako?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom