Amani ya Mungu iwe nanyi

Durable

Member
Jun 11, 2013
30
3
Hodi hodi wanajamvi, nimekuw mdau wa jf kwa muda mrefu, ila ckuwa member rasmi...sasa nimejiunga rasmi hvy naomb mtambue uwepo wangu..
 
Asanten ndg zng kwa ukarim wenu, najivunia kuw hapa..naamin meng ntajifunza kwa uwezo wa Mungu...najickia niko nyumbani sasa
 
Back
Top Bottom