Amani na Utulivu wa Zanzibar hauna uhusiano wowote na Kada mpevu Shein.

Kakke

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,883
1,482
BOnyeza AUDIO | DW.DE [h=1]Kamati ya Maridhiano Zanzibar yashtushwa na Dk. Shein[/h]Hali visiwani Zanzibar inaonekana si shwari kwenye serikali yenye muundo wa umoja wa kitaifa, baada ya Rais Ali Mohamed Shein kusema haitambui Kamati ya Maridhiano iliyoasisi muundo huo mpya wa serikali anayoiongoza.
Präsidentschaftskandidaten in Sansibar: Seif Sharif Hamad (l.) und Dr.Ali Mohamed Shein (r)

Dk. Shein alitoa changamoto kwa Kamati hiyo inayoongozwa na mwanasiasa mkongwe wa Zanzibar, Mzee Hassan Nassor Moyo, kumtaja aliyeianzisha. Sekione Kitojo amezungumza na mjumbe wa kamati hiyo, Eddy Riyami, ambaye ni mwanachama wa CCM, chama ambacho kinaongozwa na Rais Shein kwa upande wa Zanzibar.
Kusikiliza mahojiano kamili, bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman
 
Muda si mrefu Inshallah habari za Zanzibar tutakuwa tunaziona kupitia jukwaa la habari za kimataifa!, Karibu tena Tanganyika huru
 
Muda si mrefu Inshallah habari za Zanzibar tutakuwa tunaziona kupitia jukwaa la habari za kimataifa!, Karibu tena Tanganyika huru

Ni tanzania bara mkuu tanganyika halipendezi na mnaweza kukosa misaada ya net kule nje kwa jina la tanganyika maana hamtambulikani.
 
Shein ni kiongozi mi namkubali, japo kwenye umakamu hakufanya la maana (Labda kwasababu ya muundo). Kufanya kazi na Mnafiki, Mchochezi, Adui wa amani na kibaraka wa sultani ni kazi ngumu sana.
 
sheni anafahamu anachokifanya wala hakurupuki na matokeo yake mtayaona.
 
Muda si mrefu Inshallah habari za Zanzibar tutakuwa tunaziona kupitia jukwaa la habari za kimataifa!, Karibu tena Tanganyika huru

Ni tanzania bara mkuu tanganyika halipendezi na mnaweza kukosa misaada ya net kule nje kwa jina la tanganyika maana hamtambulikani.

Songoro umeona ee!! Kumbe kuna wakati Songoro tunaweza kubaliana ee!? Tanganyika yetu iyoooo inarudi!
 
Wandugu, Salaam za asubuhi; Mtazamo wangu mie nao kuwa " Umri wa viongozi wa Zanzibar ni mkubwa sana na hawana kipwa. Ningependa WaZanzibari wapate damu mpya na viongozi wenye umri wa kujituma yaani New youg blood".
Je Mwauonaje Zanzibar mpya. ivo hamjachoka na hao wazee?
Heshima iendelee lakini wachie ngazi...!!
 
Back
Top Bottom