comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,945
Wana jamvi
Wadau mbali mbali wameomba amani iwe ngao ya Afrika, hayo yamesemwa na wadau mbalimbali mjini Arusha katika kukumbuka siku ya mauaji ya kimbari yaliotokea nchini Rwanda mwaka 1994, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh Mrisho Gambo nae amesema umuhimu wa amani katika nchi za kiafrika, madhara ya mamilioni ya watu kupoteza maisha, viungo na kupotezana kwa familia, mambo yanayoweza kuleteleza mauaji kama ya kimbari ni uonevu, unyanyasaji ,dhuluma, udini na ukabila wadau wengi wameomba nchi za kiafrika zijivunie amani na wala sio mapigano na vita visivyoisha ambavyo vimechangiwa na ukandamizaji wa haki za binaadamu uliofanywa na baadhi ya viongozi mbalimbali, mapigano yasioisha yamepelekea nchi nyingi za kiafrika kuendelea kuwa masikini wa kutupa hali inayopelekea kuwa tegemezi kwa nchi za Ulaya na Amerika hivyo kuendelea kunyonywa kupitia maliasili zao
Clouds tv