Amani iwe nanyi

Kichwa

Senior Member
Mar 15, 2007
118
7
Ndugu wana JF ni mimi member mpya kabisa Kichwa, nimekuja kujiunga nanyi kupata chamgamoto na kutoa changamoto hapa jamvini. Naomba mnipokee.

Asanteni.
 
Asante umekuwa wa kwanza kunikaribisha, sitokusahau kwa ukarimu wako.

ucjali.hata mie bado mgeni lkn nimekaribishwa vizuri sana na memberz wa hapa ila tu kuna mtu anaitwa AKILI KICHWANI yaani huyo akikukalia kooni utajuta kujiregister hapa ila ukimchunia anaishiwa nguvu.
 
hahahahaaaaaaaaaaaa.....................
umenichekesaha kidogo. karibuni wageni wetu. hta mie si mwenyeji sana, wakati mwingine wananikosoa kwa sababu ya ugeni wangu.

changamoto ninayowapa ni hoja sasa ukishindwa kuzielewa hoja zangu, unakimbilia kuwa oooh, lugha yangu si nzuri nk. lakini yote heri, penye wengi pana mengi, msiogope mijadala, i swear hakuna matusi na wala ugomvi, yote ni katika kueleweshana tu.

karibuni sana............be redy for challenges................... we love you..................
 
karibu sana

preta nakumbuka ulisema wewe ni housegirl, hujalala tu?????????????? kesho utaamlka saa ngapi na watoto shule wataandaliwa saa ngapi??? mama bosi je?????????

preta pleez go to bed now..........................
 
tumemaliza kula dinner muda mfupi uliopita ndio nataka nikaoshe vyombo...... hapa namalizia malizia tamthilia
 
tumemaliza kula dinner muda mfupi uliopita ndio nataka nikaoshe vyombo...... hapa namalizia malizia tamthilia

angalia JF isije ikasababbisha kibarua kikaota majani............................ Mungu apishilie mbali, but take care, haya ya JF ni "uathirika" kamili.........
 
Ndugu wana JF ni mimi member mpya kabisa Kichwa, nimekuja kujiunga nanyi kupata chamgamoto na kutoa changamoto hapa jamvini. Naomba mnipokee.

Asanteni.

Hapa tunautaratibu wa kuwasiliana na invisible na kumpa kamchango unajua mkono mtupu haulambwi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom