Amani Ikitoweka, Kikwete Abebe Mzigo........Kikwete Ajiuzulu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Amani Ikitoweka, Kikwete Abebe Mzigo........Kikwete Ajiuzulu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muke Ya Muzungu, Jan 5, 2011.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Rais kwa kawaida ndiye kiongozi hasa anayetazamwa kudumisha amani katika nchi yoyote ile. Kwa Bahati mbaya rais kikwete na CCM wanaonekana kuwa ndio watakuwa wakwanza kuvuruga amani nchini tanzania, sababu ni kwamba

  1. Kuna viongozi wengi ambao wameshutumiwa kwenye mambo ya kifisadi ambao mpaka wangekuwa wameshahukumiwa. Kwani mali nyingi za umma zinaibiwa lakini kiongozi wetu ndio kama kinga yao, hasa ukizingatia menono ya Edward Hosea yaliyonukuliwa na Wikileaks. Ni wazi kwamba, Rostam Aziz, Edward Lowassa, Benjamin Mkapa, Karamagi, Ridhiwani Kikwete, Manji Yusuf, Yusuf Makamba na wengine wengi tu ndio vinara wakubwa wa ufisadi pamoja na Kikwete mwenyewe, lakini kama kawaida yake na upuuzi, anaendelea kupuuzia

  2. Rais mwenyewe anahusishwa na mambo mengi ya kifisadi pamoja na familia yake. Watoto wake na marafiki zake wamekuwa kama ndio viongozi wa nchi, wakikuchukia ni umekiwsha. Wanawake zake wanagawiwa nyadhifa kama pipi ilhali vijana wengi wenye uwezo wa kufanya hizo kazi wanatembea na vyeti mikononi mwao wakitafuta ajira zisizopatikana

  3. Rais Kikwete amekuwa mfujaji mali zetu namba moja. Safari zake za kipuuzi nje ya nchi haziishi, kila kukicha anasafiri na mabillioni ya kodi zetu, kazi ambazo zingefanya na wasaidizi wake hasa waziri wa mbambo ya nje. Serikali ya Kikwete kwa ujumla imekuwa ikifuja pesa zetu kwa anasa za hali ya juu. Familia yake mkewe na watoto wanafanya kila watakalo, wanadiriki hadi kuingia kwenye utawala na uongozi wa nchi, kitu ambacho inatokea katika nchi zinazoongozwa na wafalme na madikteta

  Wananchi wanapochoka na utawala wa kihimla, wanakuwa hawana namna tena. Wanafikia hatua ya kuchukua madaraka mikononi mwao, na hapo ni kumlazimisha kiongozi kuondoka madarakani. Rais anapokataa kuwasikiliza, basi machafuko mtindo mmoja. Kikwete ameombwa na CCM yake kushugulikia ufisadi, kuhacha uonevu, lakini nikama vileanawaona wananchi kama wapuuzi. Watanzania wenzangu, atakayechafua amani nchini Tanzania siyo mwingine bali rais Kikwete

  Tunamuomba ajiuzulu ili kulinda amani Tanzania. Lasivyo wananchi watamg'oa na hatima yake haitakuwa nzuri na familia yake
   
 2. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #2
  Jan 5, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Uaminifu ukikosekana kwa baba mwenye mji wake ni sharti mji huo uporomoke vibaya mno hata kama ni kwa kucheleweshwa kwa kudra za Mwenyezi Mungu tu.

  Hili la Mhe Kikwete ni janga kwa taifa na fedheha kubwa kimataifa. Watanzania kuendelea kuficha kaa la moto kwenye suruali ya nailoni sasa inatugarimu mpaka na uhai wa watoto ambao ni taifa la kesho kufariki kwa idadi kubwa zaidi ya kutisha nchini na akina mama zetu wanapojifungua sababu to wachache wanajichotea kodi ya wananchi kwa usousiokua na aibu wowote mpaka tunashinda kuagiza madawa mazuri nchini wala kuwalipa vizuri ndugu zetu watoao tiba.

  Jibu ni kujiuzulu haraka kabla hajasukumwa nje ya ofisi.
   
 3. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #3
  Jan 5, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,593
  Likes Received: 3,887
  Trophy Points: 280
  I think he might be the first president in Tanzania if not Africa to step down! we can is easy just opposition kujipanga,

  Police, FFU, jeshi wetu hawa!! wala msihofu

  JK should step down!
   
 4. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #4
  Jan 5, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Kikwete must go, na vitambi vilivyojaa mavi kama Ridhiwani Kikwete kunyongwa hadharani
   
 5. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #5
  Jan 5, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,171
  Likes Received: 1,900
  Trophy Points: 280
  ujumbe umefika 55 roga so far over!
   
 6. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #6
  Jan 5, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ni ndoto kwa kuamini kuwa mtu aliye shindwa uraisi na bado akatumia "udikteta" kuingia madarakani ajiuzulu,ili nani ampe sifa sasa?
   
 7. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #7
  Jan 6, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Ndo hivyo ameanza kuvuruga amani
   
 8. B

  Bull JF-Expert Member

  #8
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mvuruga amani lazima achukuliwe hatua, mchungaji na wenzake lazima wapelekwa mahakamni kwa kupinga amri ya police na kujifanyia mabo kimabavu as result kusababisha vifo vya wananchi.

  Huyu mchungaji tulishasema bado haja komaa kisiasa na huu ndio begining to his end kama mchungaji mwenzake Mtikila
   
 9. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #9
  Jan 6, 2011
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Amani itoweke mara ngapi?

  Hii Vita ya Hali mbaya ya uchumi unajua imeua Watanzania wangapi??
  Kinachondelea sasa hivi ni kulinda Himaya ya Maharamia wa Tanzania ili isianguke.
  Dowans
  Deep Green
  Kagoda.
  Meremeta
  Zaidi kitendo cha Dr Slaa kumtaja waziwazi mmilikiwa Dowans Dr Jakaya Mrisho Kikwete Ba*s!ha wake Rostam and Family.

  Polisi wanatumiwa kama ya ndani tu.

  Polisi hali yao ni mbaya kuliko yetu sisi Watanzania wengine.
  Wanadharirishwa kila siku katika maisha yao, kuishi kwenye nyumba za Mabati kama kuku wa kisasa bila kuwa na privacy yeyote kifamilia.
  Wanatumiwa kama ya ndani au T paper ni watu wa kuhurumiwa.

  The Hague atakwenda Dr Kikwete wakati huo Rostam atakuwa kajificha nyuma ya Iron Curtain huko Iran kwa Videvu.

  Amani ilishatoweshwa Tanzania Siku nyingi sana, kama nilivyosema kinachoendelea ni kulinda Himaya ya Maharamia wa wachache ndani ya CCM kwa nguvu zote walizo nazo.

  Walishindwa Makaburu hawa makaburu weusi akina Kikwete na Lowassa wataweza wapi???
   
 10. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #10
  Jan 6, 2011
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135

  Ukiwa mwongo unajidanganya kwanza mwenyewe na baadaye kujishawishi kudanganya wengine.
  Mahakamani wanafuata sheria ya nchi siyo katiba ya CCM au maelekezo ya kimadafu toka NEC.
  Polisi wana kazi ya kujenga hoja ya Mashitaka, pili wana kazi ya kuprove mashitaka yao kisheria mbele ya Hakimu.
  Polisi hawako juu ya sheria ya nchi.
  Kuandamana ni Haki ya Kuzaliwa ya Kila Mtanzania bila kujali Rangi yake, Itikadi yake, Elimu yake au hali yake ya kiuchumi.

  Polisi wana Rungu Mahakama ina Sheria ndiyo maana kesi nyingi zinazofunguliwa na serikali huwa hazitambi hata kidogo kwa sababu zinafunguliwa kwa hoja ya kisiasa kuliko sheria.
   
 11. j

  junior2008 JF-Expert Member

  #11
  Jan 6, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 528
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Amani imeshatoweka! JK hawezi kujiuzulu kumbuka waziri mkuu mstaafu Mheshimiwa Fredrick. T. Sumaye mwaka 2005 alisema; ' mtu anayeingia madarakani kwa kalamu(yaani kwa kutumia magazeti kuchafua wengine) atatumia mtutu wa bunduki kubaki madarakani'. Huyo ndio JK mwanajeshi mstaafu haoni shida kuuwa watu, anatumia nguvu kubaki madarakani. Watu wanajadili matokeo ya maandamano na baadhi wanadai CHADEMA hawakuwa na ulazima wa kuandamana baada ya IGP kufuta kibali halali cha maandamano juzi usiku, lakini ni muhimu pia kujadili sababu za maandamano na hatua ya IGP kufuta kibali kilichotolewa na jeshi la polisi Arusha. Ki msingi kilichotokea Arusha ni kinyume cha demokrasia, CCM walijipa Meya chini ya ulinzi wa polisi, mbunge akapigwa na kuumizwa vibaya, wananchi hususani wafuasi na wanachama wa CHADEMA wananyanyaswa, haki ya msingi ya kila raia ya kuandamana inazuiliwa na polisi wanauwa watanzania wenzao! Tunaenda wapi? Kuna amani tena hapo? La hasha! Amani imeshatoweka na vita imeshatangazwa na Kikwete dhidi ya wananchi wa Tanzania! Kinachotakiwa sasa ni mapambano kwa kwenda mbele wale watu 10 aliowaua inabidi na yeye tulipize hata kwa familia yake! Dawa ya moto ni moto!!
   
Loading...