Uchaguzi 2020 Amani Golugwa na Ally Bananga wameonesha umahiri mkubwa kwenye kampeni

Halaiser

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
3,055
2,000
Wao kazi yao nikufanya sabotage kwa wapinza kuwatumia vijana wa CCM'by doing so they create haterage'
Ni kweli kwani kuna taarifa kuwa Waliomdhalilisha Mlinzi wa Esther Matiko wa Jimbo la Tarime Mjini na wale waliomshambulia Catherine wa Jimbo la Seringeti ni Makada wa CCM waliovalia sare za Jeshi la Polisi.

Na inasemekana pia wengi wa askari watakao kuwa kwenye vituo vya kupigia kura tar. 28/10 ni hao hao kwa maigizo ya Jeshi la Polisi.

Wapinzani hasa sisi CHADEMA na ACT Wazalendo tuweni makini mno kuliko kipindi kingine chochote.
 
LESIRIAMU

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
7,156
2,000
Mpaka sasa CHADEMA na team mzima ya Lissu imeonyesha umahiri mkubwa katika cordination na organization ya kampeni yao.

Golungwa na Ally Bananga kama Ma-kampeni Manager wameonyesha uwezo mkubwa sana!... Wako well calculated, organization yao iko very perfect, na Cordination yao is much super.

This is contrary to my party CCM, ambayo secretariate yake chini ya Dr. Bashiru imeshindwa kabisa katika cordination za kampeni kuanzia level ya Kata mpaka Urais. Organization yao iko very poor hasa katika kampeni za urais...

Hawataki watu wenye uwezo kuja mbele kuokoa jahazi... But tatizo kubwa ni kwamba secretariate yote pale haijawahi kushiriki uchaguzi wowote ule tokea wazaliwe..

NB: Hata kama tukishinda this time 2020 basi lazima tufumue secretariate yote pale. Hawa tukienda nao 2025 ngoma itakuwa laini sana kwa Lissu.

Walimdanganya Rais kununua watu kumbe watu wenyewe hawakuwa na any impact. Bora tungewanunua hawa akina Golungwa na Bananga tu tukaachana na sijui Kalanga, Silinde, Lijuakali au Mashinji.... we lost alot of money na focus. Leo hii upinzani tulifikiri umekufa kumbe upo imara na una morali kubwa kuliko ile ye Lowassa 2015 aliyekuwa na umaarufu wa media...

This election ni mgumu than ever before. uzuri CCM huku ndani kwa ndani tushaanza kuona ukweli na hali halisi wa ugumu wa huu uchaguzi
Hicho ni kitu cha A town. Utalinganisha na wakuokotwa jalalani?
 
Vessel

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
5,610

Msihofu upinzani mlishauuwa kwa kuwafungia shughuli zao halali,na kupitia manyanyaso na kuwanyima kusikika katika media,laleni usingizi.
 
Vessel

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
5,610
2,000
Usiogope, CCM tuna mbinu nyingi za kushinda haijalishi kampeni manager wa wapinzani ni akina nani?.
Nyie macho na masikio mmelekeza kwenye mbeleko mlizonazo japo nyingine zinazidi kuuimarisha upinzani kwa kukosa maarifa .
 
uttoh2002

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
6,144
2,000
Mpaka sasa CHADEMA na team mzima ya Lissu imeonyesha umahiri mkubwa katika cordination na organization ya kampeni yao.

Golungwa na Ally Bananga kama Ma-kampeni Manager wameonyesha uwezo mkubwa sana!... Wako well calculated, organization yao iko very perfect, na Cordination yao is much super.

This is contrary to my party CCM, ambayo secretariate yake chini ya Dr. Bashiru imeshindwa kabisa katika cordination za kampeni kuanzia level ya Kata mpaka Urais. Organization yao iko very poor hasa katika kampeni za urais...

Hawataki watu wenye uwezo kuja mbele kuokoa jahazi... But tatizo kubwa ni kwamba secretariate yote pale haijawahi kushiriki uchaguzi wowote ule tokea wazaliwe..

NB: Hata kama tukishinda this time 2020 basi lazima tufumue secretariate yote pale. Hawa tukienda nao 2025 ngoma itakuwa laini sana kwa Lissu.

Walimdanganya Rais kununua watu kumbe watu wenyewe hawakuwa na any impact. Bora tungewanunua hawa akina Golungwa na Bananga tu tukaachana na sijui Kalanga, Silinde, Lijuakali au Mashinji.... we lost alot of money na focus. Leo hii upinzani tulifikiri umekufa kumbe upo imara na una morali kubwa kuliko ile ye Lowassa 2015 aliyekuwa na umaarufu wa media...

This election ni mgumu than ever before. uzuri CCM huku ndani kwa ndani tushaanza kuona ukweli na hali halisi wa ugumu wa huu uchaguzi

Tafakari, chukua hatua, “Haki elimu”
 
Benny Haraba

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
7,024
2,000
Ni kweli kwani kuna taarifa kuwa Waliomdhalilisha Mlinzi wa Esther Matiko wa Jimbo la Tarime Mjini na wale waliomshambulia Catherine wa Jimbo la Seringeti ni Makada wa CCM waliovalia sare za Jeshi la Polisi.

Na inasemekana pia wengi wa askari watakao kuwa kwenye vituo vya kupigia kura tar. 28/10 ni hao hao kwa maigizo ya Jeshi la Polisi.

Wapinzani hasa sisi CHADEMA na ACT Wazalendo tuweni makini mno kuliko kipindi kingine chochote.
wameonekana kwenye video clip hii inamaana polisi yeyeto atakaye ingia kituoni ni gaidi. CCM hawana akili maana wana 'alert' kabla ya tarehe 28-10-2020' jibu nikwamba kulinda kura ni lazima
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom