Aman Walid Kaburu yu wapi naomba mnijuze!!

costa manji

Member
Sep 11, 2012
11
2
Alitingisha sana enzi zake,alikubalika sana kipindi hicho lakini baada ya kuhama CHADEMA,sikumsikia tena!!
 
Alitingisha sana enzi zake,alikubalika sana kipindi hicho lakini baada ya kuhama CHADEMA,sikumsikia tena!!

Anavua samaki kigamboni.
Ukifka pale ferry ukaita Kaburuuu, utamsikia akiitikia!!
 
yupo nyumbani kwake, mbona mnakosa cha kufuatilia bana, maisha binafsi ya mtu yaacheni yalivyo
 
Back
Top Bottom