Amakweli ujinga ni haki yetu watanzania.

sir mushi

Senior Member
May 26, 2013
143
52
katika hali ya kushangaza bado watanzania tunasumbuliwa na tatizo kubwa la ujinga yaani kutokufikiri zaidi ta hapa tulipo.Waweza kifikiri labda ni tatizo la kutokusoma lkn bado inaonekana ni asili yetu kwani hata hao wasomi hawana tofauti na wasiosoma.Haiwezekani kwamba kuna mada kubwa na nzito zakujadili humu zenye mchango mkubwa katika jamii lkn bado tupo kwenye ushabiki usio na manufaa kwa watanzania, ushabiki unaofanya hata matatizo yanayolikumba taifa hili kusahau na kuendelea kupiga kelee zittooo, zitooo mara chademaaa, chademaaaa, inasikitisha. Hata hao wenyewe wanakiri kwamba taifa kwanza halafu mengine yatafuata lkn sisi tusiojua nini maana ya siasa tunawafosi nao wasahau kilichotakiwa kufanya kwamaana ya kwamba kuisimamia serikali. Leo kuna tatizo la mgao wa umeme, gharama ya kuombwa kupandishwa na tanesco lkl kama ujinga wa asili yetu tumenyamaza na kama hatujui, sijui ni makusudii, tunaendeleza mapambano ya zitto na chadema yake, inakusaidia nini hasa??? Unamshabikia zitto na mbowe ambao wao hata gharama za umeme zikipanda haziwahusu hata kidogo, watu wenye uhakika wa mlo kila siku, na bado unasema serikali ya ccm inawaumiza watanzania wakati wao hata hiyo sauti ya kupinga hawaisikii kutokana na ujinga wa asili tukiokuwa nao.Wanachofurahia serikali ni pale mnapojilundika kwenye mada zisizo kuwa za msingi na wao wanaona kama tumekubalia nao kwamaana ya kwamba hakuna sauti inayosema no stop this, bali wote tumelala. sasa taifa hili limeonekana kama adui wetu ni zitto na chadema wake, sio magazeti, sio wasomi, sio wsnasissa bali wote tumekumbwa na adui anayeitwa ushabiki hakika umasikini ni haki yetu pia.
Nawakilisha.
 
Eti bado mtu anataka aendelee kuwa mwenyekiti bila kikomo wa chama kinacho jinadi kwa demokrasia
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom