amakweli alichopanga Mungu hakuna anaepinga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

amakweli alichopanga Mungu hakuna anaepinga

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mtende, Jan 8, 2011.

 1. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  wana jf heri ya mwaka mpaya,baada ya hapo napenda kuwashirikisha furaha niliyo nayo jioni ya leo kwani ni siku ambayo nilikua naisubiria saaaana,kinachonifanya nijisikie furaha si kingine ila ni kwamba yule nimpendae kwa moyo wangu wote,the one i was always dreaming about in my life ananivisha pete ya uchumba masaa machache yajayo hivyo tunaunganisha uchumba. namshukuru sana mungu kwa kunipa mtu ninayempenda na nimeridhika nae kwa kila kirtu.namwomba Mungu azidi kutujalia ili tufikie lengo.
   
 2. s

  smz JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2011
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 251
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Personal issue
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,768
  Likes Received: 83,105
  Trophy Points: 280
  Hongereni sana.

   
 4. Egyps-women

  Egyps-women JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2011
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  good luck omba mungu siku hizi mpaka uwekwe ndani ndio ujihakikishie usalama
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hongera mwaya!
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  Jan 8, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  We ulitaka!?
   
 7. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #7
  Jan 8, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  asante sana
   
 8. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #8
  Jan 8, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  thanks liz
   
 9. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #9
  Jan 8, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  asante pia
   
 10. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #10
  Jan 8, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  thats why nimesema nawashirikisha furaha niliyonayo
   
 11. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #11
  Jan 8, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Hongera sana mtende kwa mpendwa wako kutimiza ndoto za maisha yako
  unaonekana ni mwingi wa furaha leo
  all the best and enjoy
   
 12. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #12
  Jan 8, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180

  nina furaha isiyoelezeka thanks indeed
   
 13. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #13
  Jan 8, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Hongera,umpende zaidi na umheshimu.Mungu awe nanyi daima!
   
 14. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #14
  Jan 8, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  hongera sana mpenzi, mtakeni Bwana pamoja na nguvu zake, utafuteni uso wake Bwana Mungu siku zote, zaidi na zaidi katika maisha yenu na nyumba yenu mnayokusudia kuianzisha. myatimize yote mliyoyachuchumilia maisha yenu yote. dont forget Mungu akishakuingiza katika ndoa yako usisahau kuishi maisha apasayo kuishi mke mwema kadiri ya injili ya Bwana. be blessed
   
 15. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #15
  Jan 8, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180

  amen
   
 16. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #16
  Jan 8, 2011
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hongera sana, naomba mungu akulinde pia hadi hapo mtakapooana as ndio atakuwa wako bila kupingwa
   
 17. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #17
  Jan 8, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  hongera sana ila duh jina liko kigumu gumu hivi mi nlikuwa najua we male
   
Loading...