Amaa kweli Uchumi umekuwa kwa kasi ya Ajabu... Ona hiii

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
2,590
1,614
Hii nji kweli inakatisha tamaa...Hebu ona maisha ya huyu mpiga kura wetu ambaye ana aminishwa kuwa uchumi umekuwa kwa kasi ya ajabu... Inasikitisha...
maisha bora ndiyo haya wa TZ.jpg Kazi kwenu wana JF
 
Huyu mbona ana unafuu kidogo ukilinganisha na wengine kule vijijini! halafu,mind you that uchumi unaokuwa haumhusu huyu na wenziwe bali the only selects!
 
Huyu mbona ana unafuu kidogo ukilinganisha na wengine kule vijijini! halafu,mind you that uchumi unaokuwa haumhusu huyu na wenziwe bali the only selects!

Now I understand!! Ina maana huyu yeye hata huo uchumi tunaoambiwa kuwa umekuwa hahusiki!! kwa kweli hali ni mbaya na mlo hapo ni wa wasiwasi achilia huduma kama maji na mambo ya afya.... kwake panadol ni kitendawili......
 
Tanzania ina wenyewe. Kuna ambao wanaona uchumi unakua, wengi wengi tunazidi kusota. Nadhani mweshimiwa JK akitaka kujua uchumi unakua vipi afanye tathmini yake vijijini ambao kuna watu kula milo miwili ni anasa.
 
Hii ndiyo bongo, nadhani heading yake ilipaswa kuwa maisha bomu kwa kila mtanzania, tungojee miaka 40 ijayo tupate uhuru
 
hayo ndiyo mabadiliko tunayo yataka sisi watanzanai kuelimisha wananchi mpaka vijijini, maadhara ya kuchagua chama kisicho jari masirahi ya wananchi mfuko wa mbolea kijiji kwetu ni Tsh 80000, sukari Tsh 2100 kila kitu juu maisha magumu kila kona hapa nipo kijijini bibi yangu anashangaa tuu na huku anakadi ya CCm mkononi,nikamuelimisha alinielewa vizuri
kuna kazi nzito ya kuelimisha jamii,juu ya maafa yanayo letwa na ccm kwa wananchi,huko juu wenzetu wanaishi kama wapo peponi maisha bora yapo kwao na mafisadi wao wakati huku kijijini wananchi hawajui wali walikula mara mwisho lini .ahadi zote alizo ahidi Mh ni ahadi hewa hamana kitu,ziko wapi ahadi za 2005?Mwanachi kijijini haelewi chochote zaidi ya kupewa kanga,raba na kofia za CCM kuna shida hapo.i will proof positively kuwa Mh ni Mkweli nitakapo ona maisha ya wananchi kijijini wanao lala njaa yamebadilika,hii inatia huruma na simanzi sana, kuiba mapesa sio sifa bali ni laana tupu.
 
Hayo maisha mbona peace tu, huyo si bora hata ana kinu hapo nje, kuna ambao hali yao ni mbaya zaid ya huyo hapo. Tena Kikwete aliwatembelea enzi za kampeni saana lakini hajawasaidia chochote kile.
 
Back
Top Bottom